Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mimi Ni mmiliki wa kampuni, nina vijana zaidi ya kumi ambao kazi zao ni za field , ivyo nilitaka kununua piki piki lakini katika michanganuo nikaona ni bola nitafute pikipiki za mkataba kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu condoms za jumla kama bull, salama n.k za jumla ni maduka gani wanauza condoms za jumla.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
PIKIPIKI BOXER 150 namba CAF BEI: 1,700,000 Tshs Pikipiki ina full document Engine safi. Haina tatizo wala mgogoro. Keko Dar es salaam. Call0744033555
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe. Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Panasonic Gh5s with viltrox speedbooster 0.71x magnification(hii ni speed booster ambayo ina convert ef to mfd plus magnification) tofauti na zile convetor Ipo na cage yake plus handle Bei...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Xbox one X ina intenal 2tb natoa na cd tatu Forza 7 Gear of war 4 Injustice 2 Bei 1.1m Hii ni xbox one X ile ya 4k Kama.upo interest nicheki 0752527054 0629274880 0716917896
0 Reactions
4 Replies
783 Views
64GB RAM 4GB Price 420,000
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Supper Gro nikirutubisho kinacho ufanya mmea kuwa na afya inayostahili katika ubora wake, pia inasaidia kwa wakulima wadogo wadogo, na wakubwa kupunguza gharama za uendeshaji wa kilimo, pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
-Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami -Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo -Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20) -Pamepimwa...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Makisio ya gharama kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi, hufanyika mwanzoni kabisa katika hatua ya uibuaji wa mradi (Project Planning Stage). Andiko la Mradi huweza kuonyesha tu jumla ya kiasi...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo. Nina chuma za Turubai. Futi 20 kwa 20. Bei yake halisi ni 1.2M Bei ninayouza ni sh laki nane. Napatikana Pugu kona. -SOLD-
1 Reactions
15 Replies
4K Views
. Imetumika na touch yake ndio inazingua. Mwenye simu anasikiliza ofa yoyote. Pia ipo samsung s6 edge..imepasuka kioo.ni ya kuweka display mpya.hiyonaiuza 50k. Location MWANZA
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za mwaka mpya wakuu Nyumba inauzwa pugu kajiungeni km 1 kutoka barabarani. Ina nyumba vi3 vikubwa. bei ni milion 45 maongezi yapo Ni square mita 1500 yaan mita 30 kwa 50 No 0753567696 NB...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
vimeuzwa
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwenye uhitaji wa mzani wa kupimia wa mawe anicheki PM bei ya kuanzia ni 110k ni umetumika miezi michache tu so bado mpya kabisa ,napatikana Morogoro mjini
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu! Naomba kujua mwenye kujua soko la lozera anijuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wawekezaji tuna eneo geza ulole kigamboni linauzwa kwa heka kwa atayehitaji awe mwekezaji au mwananchi tu wa kawaida kuna heka zaidi ya 600/karibuni sana.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu Habari ya jioni, ninashida na freezer, mwenye anayo anauza anipm tuongee bei!!!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Lenovo X 130 Hdd 320gb, ram 4gb, battery 3 hours, price: tzs 350,000 ya wiki hii kabla ya wikiend. Tuko Kariakoo jirani na China plaza piga 0713039875 kuwahi ofa hii
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom