Nahitaji soko la mazao ya karanga, kunde, choroko, maharage na ufuta

muwinge abdully

New Member
Nov 18, 2015
1
1
Wadau habari,

Nimepata mtaji wa sh. M1.5 nafikiria niizungushe kwenye mazao makavu. Msaada kwa yeyote anaeweza kufanya biashara na mimi ili nimlangulie shambani nimletee sokoni. Mimi nipo Mahenge Ulanga. Aliye tayari tufanye biashara.

Ahsante
 
Mkuu Hivi Sasa HIV mchele Bei gn kea kilo huko?
 
Back
Top Bottom