Usibahatishe tena kufaulu Mitihani ya kidato cha nne kwa wale wanaorudia Mitihani

Capitrait

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
228
325
Tuanzie hapa:

Jaribu kutembelea website ya NECTA, halafu angalia matokeo ya wale waliofanya Mitihani ya kidato cha nne kama Private Candidates mfano Resitters ama QT

Angalia matokeo ya vituo mbalimbali vya jiji la DSM.

Ukweli ni kwamba utakuja kubaini kuwa wanafunzi wengi hawafanyi vizuri mitihani yao.

Hii ina maana kwamba, kama wewe ni mwanafunzi ama Mzazi ama Mlezi wote mnapaswa kuwa makini sana kuchagua kituo sahihi cha kusoma kwa ajili ya kujiandaa na Mitihani ya kidato cha nne ama QT.

Usipokuwa makini kuchagua kituo utakuwa unabahatisha ufaulu wako, kitendo ambacho ni hatari sana.

Hivyo, tunaomba kukukaribisha kusoma nasi pale Tabata ama Banana jijini DSM kwa uhakika wa kufaulu zaidi Mitihani yako ya kidato cha nne, na QT

Tunafanya masomo yako kuwa 'mepesi na uhakika'. Ukijiunga nasi kufaulu ni uhakika sio kubahatisha.

Lakini zaidi, kuna wale wanafunzi ambao wanakuwa na uelewa mdogo sana darasani ama wapo nyuma SANA kimasomo. Sisi ndio kimbilio lao, tuleteeni hao wanafunzi. Wawe wanarisit mitihani yao kama private candidates ama wawe school candidates kwamba hawarudii mitihani yao, mtuletee tuwasaidie Kwa ukaribu SANA na watakuwa na matokeo mazuri. Sisi tumejitoa kwa saa 24 Kwa siku kufanya kazi hii ya kuwasaidia wanafunzi kufaulu mitihani yao ya kidato cha nne na pili.

Ada yetu ni nafuu sana kulinganisha na ada za wengine, pia kulinganisha na kiwango cha huduma tunachotoa, maana tunatoa huduma bora na ya uhakika kimasomo. Ada inaanzia sh 20,000 kwa mwezi, na inaweza kuzidi kutokana na mahitaji ya mwanafunzi.

Pia, tunatoa ushauri wa kimasomo bure kwa wanafunzi kuhusu kujiandaa na mitihani yao ya kidato cha nne na cha pili

Kufaulu kwa mtoto ni fahari ya Mzazi

Nicheki PM nikupe hii connection
...........................
NB:
Tafadhali ukienda kujiandikisha sema umeona tangazo hili JF ili nipewe commission yangu, maana mm ndo nasimamia tangazo hili JF.

Ni kweli, kila tangazo la kujitangaza huwa ni la kujivunia lakini hawa jamaa hakika nimewakubali, sisemi ili nikapate commission hapana, bali nasema kwa dhati ya moyo wangu hawa jamaa wapo vizuri mno, mno yaani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom