Nafanya huduma ya mobile stationery

drmaxmhozya

Member
Aug 7, 2020
51
48
Na steshenari yangu ipo maeneo ya Mbezi Beach afrikana nafanya huduma ya mobile stationery nakufata mpaka sehem ulipo huduma nazo toa ni kama vile.

Natoa mikataba yote ya mauziano mikataka ya pango la biashara na mikataba ya nyumba kwa wapangaji.

Natoa huduma ya kukuandalia vitabu mbali mbali kama vile receipt book, invoice na delivery note na pia diary kwa shule za watoto zinaandaliwa vizuri tu.

Pia tunatoa na huduma ya affidavit kwa Wale ambao hawana namba za nida usije na shida wasiliana nasi.

Kwa mawasiliano WhatsApp 0657709912.
 
Back
Top Bottom