Kwa mahitaji ya mapishi

Kwa mahitaji ya mapishi

Evans Richard Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2018
Posts
366
Reaction score
792
1. Tuite tukupikie kwenye shughuli yako kubwa ndogo, tunakuja popote hata mikoani tupo Dar.

2. Unaweza kununua vyakula vyako tukaja kupika tu.

3. Pia tutaweza kukukadiria vitu vya kununua kulingana na idadi ya wageni wako ,kwa gharama ndogo, iwapo tutakuhudumia ni bure kabisa.

4. Hata chakulakuanzia Cha familia tu nyumbani tunakupikia chenye ubora wa hali ya juu na ladha nzuri..
Tujaribu uone.

0692789868.popote tunakuja .
0652132665.
 
Pilau la 'mutu tano' mtapika kwa bei gani!
 
Back
Top Bottom