Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
Wanajamvi nina wazo la kufungua kiwanda cha maji ya kunywa (kama kilimanjaro,uhai,sayona).
Mwenye ufahamu juu ya initial cost na mitambo ya kutengeneza na ku purify maji and the whole process juu ya hiyo biashara naomba kujuzwa.
 
Mkuu inategemea. Ila siyo bei nafuu. Kama unahitaji kweli, ninamfahamu mtaalamu mmoja hapa anaweza kukufungia mtambo mzima kwa bei kati ya Euro 50,000 na Euro 100,000. Itategemea na ukubwa wa mtambo.

Unachotakiwa kukifanya ni kuangalia wapi utapata maji ya uhakika kwa sababu mtambo kwa mfano unazalisha chupa 2000 kwa saa, itabidi uwe na lita nyingi sana za maji chini ya ardhi, vinginevyo maji yatakauka. Pia uhakikishe usalama na usafi wa maji hayo kwani hilo siyo jukumu lake.

Yeye akija, ataunga mambomba kwenye sehemu maji yalipo. Ataweka Filter kusafisha maji kwa mara ya mwisho. Ataweka mtambo wa kutengeneza chupa hapohapo kwenye kiwanda chako na mwisho chupa zinajazwa maji na kufungwa kizibo chake.

Chupa zilizo mashuhuri ni 0.5l, 1.5l na 5l

Kama unahitaji kwelikweli basi wasiliana na mimi kwa email: SSAMBALI@Hotmail.com na ntakuunga kwa Mhandisi mzoefu ambaye ameshafunga mitambo mingi sana nchi nyingi za Eastern Europe na Asia. Kama sehemu hakuna Umeme, basi atahakikisha anakuacha na Generator ya kutosha kuhudumia mtambo mzima.

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
As can be seen below, every thing can be produced 100% automatic or semi automatic with people doing some of the job. So, the price varies according to the wish of the customers.

The price range between €50,000 to €100,000.
________________________________________________________

We configure the fiilling lines depending with the customers wish.
2RLgMV6u9Ks0EIf6HEPeXRtqI2XhBTyKNstWYuSWgDrdvNwLBXYtxu2ric_YkhAkeUqKLn0ZKg=s0-d-e1-ft

Maelezo: Kutoka kushoto>> Kutengeneza chupa PBU-5, Kujaza maji kwenye chupa pet XAB-9, kuziba mfuniko ZBU-800, kuweka lebo-ECA-6, kufunga chupa autimatiki AVP-700, tuneli ya kuchemsha.

Some of the machines for producing PET bottles which also fixed at the production lines. This can be 0,5l, 1,5l, 5l etc but those are most popular one and this bottles are coming in very small sizes are BLOWN to it's normal size like the way people make balloons for decoration.

1. AUTOMATIC MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-77/3
This machine is prepared to automatic production of PET bottles from 0,2 l. to 2,5l.

THE SET INCLUDES:
- monoblock with tunnel to heating PET preforms and integrated
blowing unit
- preform's feeder
- one set of moulds (according with order)
- air compressorMoulds can be replaced

slVcvFUyKjbrZ6j2jiL1Rp9eUr8OrTk_WFIn-r3nDBh4N7A8Rt0Wkl6WJWS1wbpOOf5ebzeN=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance: 2000 bottles/h +/- 10%
power instalation: 25 kW
air blowing pression: 15 bar
capacity of cooling water: od 3 do 5l / min
dimention (mm)
1700 x 700 x 2100 monoblock
1650 x 700 x 1350 compressor
wieght all set 920 kg (570 kg monoblock, 350 kg compressor)
operating personnel - 1 person

There is a possibility to buy an automatic bottle's receiver with
the function of placing them on the production line.

2. SEMI-AUTOMATIC BLOWING MACHINES TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7 WITH MANUAL PREFORM PLACING AND BOTTLE RECEIVING
This machines are prepared to blow PET bottles from 0,2l to 5l, with the possibility to even 7l.

THE SET INCLUDES:
- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

h_DTzUa50NwR84h-bV3j1YVC-0gSQr2e08KACuwdFIVVblVb8yUJSiEAv42xjjcKpLXuxZHzAox8fw=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance:
750 - 850 bottles/h for bottles 0,2 - 2l
600 - 650 bottles/h for bottles 5l
power instalation- 20 kW
voltage - 50/60Hz 3x220V
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
capacity of cooling water - ca 3 - 5 liters / min
dimention (mm)
1420 x 630 x 1560 blower
1220 x 520 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 1250 kg
operating personnel - 1 person

3. MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7/3x5

APPLICATION:
Semi-automatic blowing machine prepared to PET bottles of capacity 5l of any shape.

THE SET INCLUDES:

- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- preform's feeder - one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

poNBZcjNooK2rbpAexDMMsr-lzVi-Z0zAQVwVK0k982fVkmacoYlzZJacwKY65x5X_VBuFEDAKG-UlVT=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:

performance:
1100 bottles/h (3 x 5l)
power instalation- 27 kW
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
(Machine is adapted to pressure: 25 MPA)
capacity of cooling water - ca 3 - 5 liters / min
dimention (mm)
1600 x 800 x 1610 blower
1320 x 570 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 950 kg
operating personnel - 1 person
 
Mkuu, maelezo nimekuwekea hapo juu. Kama utataka kweli, basi upande wetu huku tutakufanyia mwaliko ili uje uangalie na uchague ni kipi unataka kutokana na uwezo wako. Ukishachagua kutokana na mazigira yako huko, basi vifaa vitaletwa na kufungwa na Mhandisi huyo hataondoka kabla mtambo haujaanza kufanya kazi kwa kuzalisha maji. Kila la heri.

Kama mtambo unafanya kazi bila tatizo, basi wengi wanasema mwaka hauishi, fedha yako inarudi kwani gharama ya kuzalisha maji, huwa ni fela ndogo sana. La muhimu tena hapa ni uhakika wa maji, soko na umeme.
Wanajamvi nina wazo la kufungua kiwanda cha maji ya kunywa (kama kilimanjaro,uhai,sayona).
Mwenye ufahamu juu ya initial cost na mitambo ya kutengeneza na ku purify maji and the whole process juu ya hiyo biashara naomba kujuzwa.
 
Ilikuwa niweke tangazo siku nyingi kwa watakaotaka kuwa na mitambo ya kutengeneza na kujaza maji kwenye chupa ila kwa sababu moja au nyingine, nikasita kufanya hivyo. Nilipoona mtu anaulizia nikaona ni muda sasa wa kuweka tangazo zima ambalo lilikuwa limeshaandaliwa siku nyingi kidogo.

Naungana na wewe kusema kuwa kweli JF kuna vitu vingi sana. Unaweza kuondoa umasikini wako kama utaamua kufuata ushauri wa wataalamu wa aina mbalimbali waliopo hapa JF. Long live JF.
ushidwe wewe tu mleta mada jamaa kamwaga radhi hapo juu!
jf ni kila kitu
 
Hivi mkuu Stiven huko ulipo siwezi kupata kamashine chini ya m5 kanakoweza kutengeneza bidhaa zozote ambazo jamii inaweza kuzitumia?
 
Last edited by a moderator:
aisee umewafungulia macho ya biashara watu wengi hata mmm nimeipenda wazo lako la biashara hili acha nijikusanye jikusanye nianze mkakati huo wa mradi wa maji kwani naona utanilipa asante sana mkuu kwa mawazo haya
Mkuu, maelezo nimekuwekea hapo juu. Kama utataka kweli, basi upande wetu huku tutakufanyia mwaliko ili uje uangalie na uchague ni kipi unataka kutokana na uwezo wako. Ukishachagua kutokana na mazigira yako huko, basi vifaa vitaletwa na kufungwa na Mhandisi huyo hataondoka kabla mtambo haujaanza kufanya kazi kwa kuzalisha maji. Kila la heri.

Kama mtambo unafanya kazi bila tatizo, basi wengi wanasema mwaka hauishi, fedha yako inarudi kwani gharama ya kuzalisha maji, huwa ni fela ndogo sana. La muhimu tena hapa ni uhakika wa maji, soko na umeme.
 
mkuu hakuna machine ambayo naweza kuweka lebo hata kwenye chupa zangu za asali kama
inawezekana nifahamishe nna niambie bei ya hiyo machine
Ilikuwa niweke tangazo siku nyingi kwa watakaotaka kuwa na mitambo ya kutengeneza na kujaza maji kwenye chupa ila kwa sababu moja au nyingine, nikasita kufanya hivyo. Nilipoona mtu anaulizia nikaona ni muda sasa wa kuweka tangazo zima ambalo lilikuwa limeshaandaliwa siku nyingi kidogo.

Naungana na wewe kusema kuwa kweli JF kuna vitu vingi sana. Unaweza kuondoa umasikini wako kama utaamua kufuata ushauri wa wataalamu wa aina mbalimbali waliopo hapa JF. Long live JF.
 
Mkuu, maelezo nimekuwekea hapo juu. Kama utataka kweli, basi upande wetu huku tutakufanyia mwaliko ili uje uangalie na uchague ni kipi unataka kutokana na uwezo wako. Ukishachagua kutokana na mazigira yako huko, basi vifaa vitaletwa na kufungwa na Mhandisi huyo hataondoka kabla mtambo haujaanza kufanya kazi kwa kuzalisha maji. Kila la heri.

Kama mtambo unafanya kazi bila tatizo, basi wengi wanasema mwaka hauishi, fedha yako inarudi kwani gharama ya kuzalisha maji, huwa ni fela ndogo sana. La muhimu tena hapa ni uhakika wa maji, soko na umeme.

Safi sana!
 
Naona Mdau Steven Sambali amekupatia bei na specification zote

Ila mimi nakushauri sababu ni investment kubwa 50,000 Euros kabla haujaweka huko hizo pesa zako angalia Strengths zako na vipi uta-compete na hawa kina Kilimanjaro na ku-test, soko lako unaweza ukaongea na wenye mitambo tayari mkaingia mkataba kama kuna masaa wapo off-peak au kazi sio nyingi wakawa wanakujazia maji yako kwa fee fulani..

Sababu sometimes its all about branding..., ni kama Lady JD alivyotaka kuanzisha maji yake ya JD na aliweza/angeweza kufanya hivyo kabla ya kuagiza mitambo yake, akishakuwa na uhakika wa soko ndio angeleta yake.., Au wewe kama kuna watu unaweza ukawa unawajazia maji yao kwa fee fulani nadhani hio pia inaweza ikawa ni stream ya wewe kujipatia kipato pia.
 
Last edited by a moderator:
Duh,yaani mie nilikuwa najua kama Bilioni moja au rahisi milioni mita nane hivi.
Yaani Steven unatisha kaka.Yaani hata Maswali hakuna,maana Data kamili.

Ngoja mie nifanye mchakato mwakani nitakutafuta nime save email yako.

Au wana JF mnaonaje tujipange watu kama 100 hivi then tuanzishe sehem kiwanda chetu.
Hili ni wazo tu,mie naweza kutoa mpaka share ya 15m.
Ni wazo tu jamani,maana tutumie muda humu kwa faida.
Tunaweza kuweka Utaratibu wa kuwa na Wamiliki kisha humuhumu tukaajiri watu wa Marketing wenye taaluma na uzoefu.Na pia humuhumu tukapata suppliers.
 
Mkuu!!! Man Power Tupo Hapa!
 
Mkuu!!! Man Power Tupo Hapa!

Sawa mku.
Haya nataka tu update list ya owners on daily basis na pia kiasi cha wastan wa shared capital(Note that this is a really serious issue)

1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Majigo :Weka kiasi mkuu

Current Total Capital:Tsh:15,000,000

Pia Pendekezo la Jina la Maji:
-Jamii Pure Drinking Water
-JF Pure Drinking water(ila hapa lazima tuombe kibali kwa JF Owners,najua hawa ni wetu tu watatukubalia)
-JF Members Drinking Water (the same)

Ifahamike kwamba inatakiwa ndani ya miezi sita tuwe tayari kunauelekeo ili kuindia awamu ya pili.
Concept hii napendekeza iwe ya mwaka mzima ili by January kwa waliotayari tuanze baada ya kupitia michajkato mingine kama vile,mkoa wa kufungua kiwanda kidogo hiki,na mambo mengine yakiutawala.

Pia nakaribisha wataalam wa mambo ya uchambuzi wa miradi na Marketing pia watupe uzoefu wao,maana najua mmo humu na mchango wenu wa mawazo ni muhim sana.Ili penye makosa muweze kukosoa na penye ushauri muweze kuweka.
 
Mimi nina different concept of approach;

Unaonaje in the beginning uki negotiate on big discount na mzalishaji mkubwa wa maji ambaye yuko well established, wewe utengeneze labels zako of different brand say ''JF spring water'' then anazipack kwa labels zako halafu unatest soko limekaaje kwa say miezi 6 ? na kuweza kupata experience wakati huohuo, hapo risk of investment itakuwa very low,wakati wowote unaweza ku pull out mambo yakikaa vibaya...ni idea tuu.. samahani wakuu kuchanganya kiingereza na kiswahili ..
 
Ni kweli hii Idea ni nzuri pia,tunaweza kuiweka pia,I like JF Spring Water
Sasa tatizo ni hao wenye viwanda vikubwa vya maji,naona kama wengi ni wasumbufu nawatajua kwamba unataka kuwa wapiku na wao wanamajina yao,sasa wanajua kwamba ukifanikiwa tu basi utaanzisha kiwanda cha kwako na wao kupungikiwa kwenye soko la wateja wakuu.hapo ndio Fitna za Kibongo zinapoanza.
 
soko la maji lipo, hasa huku mikoani. So msijibane dar kwan dar ushindani ni mkubwa mnoo. Jarib mikoa kama morogoro, manyara na n.k, mfano wilaya ya mvomero, kilombero na ulanga kuna kampuni moja kama si mbili za maji na maji yao sio poa kiivyo. So msiwekeze dar au kwenye miji mikubwa.
 
Mashine kama hizo zipo nyingi sana. Ila cha kujiuliza, kwa sasa unataka kweli hiyo mashine? Je utengenezaji wako na kujaza asali kwenye chupa zako unakufanya kwa mashine kiasi kwamba unahitaji hiyo mashine iweke lebo? Kama unazalisha kwa kutumia mkono, basi ningelikushauri wewe tengeneza hizo lebo/chapisha na weka. Pia hata watoto/vijana/akina mama wanaweza wakaweka hizo lebo. Vijana watafurahia wanapata kazi na hasa wanafunzi wa Primary au Secondary za kata na wewe utatupia pesa kidogo sana kwa kazi hiyo. Mashine pia inaweza kuhtaji umeme ambao kwa mikoa kama ya Tabora ambako mimi natoka, umeme ni matatizo sana. Ulaya kazi kama hizo zinafanywa sana na Wanafunzi ili wajipatie kipato kidogo.

Ila kama kweli wahitaji, basi naweza kukutafutia na kukujulisha bei zake zikoje - Fikiri tena na nijulishe.
mkuu hakuna machine ambayo naweza kuweka lebo hata kwenye chupa zangu za asali kama
inawezekana nifahamishe nna niambie bei ya hiyo machine
 
Back
Top Bottom