Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za jioni wandugu, Naomba kuuliza mwenye NIssan Caravan Td Engine ya kuuza iliyo kwenye hali nzuri,aje PM tuyajenge. Asanteni wote.
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo...
0 Reactions
7 Replies
674 Views
Nauza spika mtumba, Location: Moshi Cont: 0787555849 Bei 300,000
1 Reactions
1 Replies
474 Views
Kiwanja (20x40) Tsh 6.5M kimekaa Tambarale kabisa, kimezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote kijamii Kiwanja hiki Kipo kiluvya makulunge karibu na zahanati ya makulunge upande wa...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Jipatie spy camera uweze kurekodi matukio na ukaona kupitia simu yako Camera ina sifa zifuatazo Unaweza ukaunganisha camera na wifi ya simu yako ukaona kinachoedelea live kabisa Au ukaweka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji kununua viti vya plastiki used vyenye hali nzuri, kuanzia viti 100. Tuwasiliane - 0682763318
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Wanajamvi salaam! Nina mzigo wa korosho kama tani 1000+ Mtwara (Tandahimba & Newala), Nahitaji ufike Dar es salaam, ASAP mwenye lori zaidi ya tano mpaka kumi anaweza nitafuta 0622479330 tuzungumze.
1 Reactions
6 Replies
593 Views
Katika msimu huu wa kombe la dunia tumekuletea ofa ya wewe na familia yako kwa kupendezesha sebule yako na kuenjoy burudani ya mpira wa miguu. Jipange maxuria kwa bei ya ofa ya kuanzia 150,000...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni Property Investors Company (PIC) wanauza viwanja eneo la Pangani Mtakuja vyenye sifa: [emoji835] Viwanja vipo karibu na Barabara inayounganisha Kibaha na Vikawe. [emoji835]Vipo umbali wa km 1.5...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Location :Ubungo plaza Bei ya banda ni 500000 Ukiitaji ufanyie kazi hapo hapo lilipo nitakupa miez 4 free Bei ya laini Tigo __150000 Voda__150000 Air tel__100000 Sio lazima uchukue vyote...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
TOYOTA HARRIER NEW MODEL MPYAA SANAA (DKM) PRICE MIL 17.9 Make: TOYOTA Model:HARRIER Engine code; 2Az Engine capacity; 2360 cc Mileage: Low Mileage Full ac Full documents. Transmission...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Mastervolt Part no: 77031500 Type AC 1X6A Bei: 450,000/- Kwa kweli sijui Ina kazi gani sema imekuja na mzigo wa mtumba. Nim jaribu kucheki mtandaoni nijue Ina kazi gani ila bado sijajua.
0 Reactions
18 Replies
911 Views
Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo. Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs...
0 Reactions
8 Replies
820 Views
Nyumba ipo Argentina karibu na kituo cha mwendo kasi gari inafika mpaka mlango jiko mnatumia watu wa wili na choo mnatumia watu waili maji yapo umeme kwa mwezi 20k unawaka 24h
0 Reactions
8 Replies
648 Views
Jipatie sabuni bora ya Mydło na yakisasa isiyo kuwa na athari kwa mtumiaji au mazingira. ->Inasafisha na kung'arisha tiles,sink. ->Inasafisha ukuta wa rangi ya mafuta. ->Ina safisha rather...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency...
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Sandal nzuri kwa 18000 tu Napatikana mwanza mjini Karibu Sana kwa mawasiliano zaidi @0768480963
1 Reactions
152 Replies
18K Views
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 700 linauzwa.liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe,kwani miundombinu yote iko sawa,na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Table Lamp inauzwa nzuri sana [emoji95] Bei 60000 Imetumika mwezi tuu like new Location Ilala Contact #0719781424
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Back
Top Bottom