Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shida ndio hiyo kwanye mada.kama kuna anaye mfahamu dalali au kampuni inayo uza magari used na bei nzuri sio used kutoka japan iwe used hapa hapa home , used zabjapan bei imechangamka Maeneo iwe...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari wanajamvi, Karibuni mjipatie bima ya afya kwa ajili yako, mtoto na familia yako, kama picha inavojieleza. Kwa maelezo zaidi unaruhusiwa kuuliza Karibuni sana. Sent from my Infinix...
0 Reactions
13 Replies
909 Views
Mwenye uwezo wa ku unlock expired Os au ku upgrade, naomba msaada.
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Habari wana JF, Nina mzigo wa hizi kitu nauza bei ya jumla, zipo 25 Kila moja inaenda 10,000...tu. Mzigo upo Dar es Salaam. Kama upo interested nicheki 0783350399.
0 Reactions
10 Replies
806 Views
Toshiba Hdd- 128ssd Ram 4 Touch screen Nina shida na uhitaji wa pesa haraka sana.wakuu nimebanwa na shidaaa nahitaji 250000 tu. Ipo dar piga simu 0627474141
0 Reactions
2 Replies
869 Views
TV bado ipo kwenye warantee ina box lake, risit na warrantee card remote imepotea 0692402211 Kigogo mburahati
1 Reactions
16 Replies
2K Views
HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA...
0 Reactions
630 Replies
95K Views
Nawasalimu wanaforum wenzangu, Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shamba linauzwa ni beach plot liko Tanga sehem inaitwa AMBONI (mafuriko). Shamba lina ukubwa acre 2 1/2, shamba liko mazingira mazuri kuna umbali usiyo pungua kilometer 1 sea level kutoka...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Nyumba inapangishwa Ina vyumba viwili vya kulala Sitting room,dining room ,masterbed room,public toilet na jiko Price 350000. Call now +255658904648
2 Reactions
0 Replies
676 Views
Habari wana jukwaa, Jina langu naitwa VOLDER BN BYJUKA. Mimi ni Freelancer Journalist, nimejikita hasa kwenye upande wa usimuliaji wa makala mbalimbali na simulizi za riwaya pia. Nimefanya kazi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme, fryer za gas zina kibiriti chake Bei:double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer:130,000Tsh Single gas...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Tunauza miche ya miti aina ya mitiki kwa bei nafuu sana tshs400 kwa mche mmoja na utaletewa mahali ulipo. tunafika kila mkoa Mawasiliano +255717778964 +255757026958 +255620134902 Unaweza kupiga...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Nauza mashine ya kusafishia carpet a.k.a Vacuum Cleaner. Mashine hii ni mpya kabisa na haijawahi kutumika hata mara moja. Bei: 250,000 Location: Arusha Mawasiliano: 0768444224
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Kama Kuna mtu mwenye POS wakala ya NMB ambaye ameshindwa Biashara anichek fasta nahitaji hiyo kitu. Maana nimeenda Branch za NMB wanasema hawatoi hizo machine kwa Sasa Nipo Dsm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Property Investors Company inauza Viwanja Misugusugu Kibaha vyenye sifa: [emoji835]Ni Viwanja vizuri kwa makazi na biashara. [emoji835]Viwanja vimeshapimwa tayari,hivyo ni rahis kwako kupata...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
MODEL INFINITY ONE EDUCATION RAM 2"GB STORAGE 64 GB PROCESOR 1.4 GHZ INTEL ATOM SCREEN SIZE 10.1 INCH BETRIE HOURS 8 INA USB HUB, MIN HDMI, HEAD PHONE PORT, CONVERTABLE LAPTOP UNAWEZA KUITUMIA...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
amani iwe kwenu. wakuu nauliza,hapa dodoma nitapata wapi magodoro rejects ya pale kiwandani QFL niweze kutengeneza kisofa changu gheto?. natanguliza shukrani.
3 Reactions
3 Replies
709 Views
Back
Top Bottom