Wapi naweza kupata Samaki wa Mapambo

Chief

Platinum Member
Jun 5, 2006
3,291
2,619
Wapi naweza kupata samaki wa mapambo hapa Dar, kama gold fish etc, ukiacha pale forodhani? Maana pale bei imesimama sana.
 
Nachotaka ni zile glass na mashine zake za ku push maji!

Nataka box la ukubwa mkubwa sana kama 4mX2.5mX3m

Nataka 2pcs

Samaki wa kuweka mle nanunua online wanakuja na ndege..

Ni heri ununue online!

Uswahili wapo wachache halafu bei ni takatifu...

Halafu ni heri uchukue kizazi cha kwenye glass uweke kwenye glass kuliko kizazi cha bahari directly kwenda kwenye glass,kufa ni rahisi zaidi!
 
Du! Hakuna some kind of restrictions ya ku import live fish? Nitajaribu. Si ungeagiza tu na fish tank?
 
Size ni kubwa sana...

Shipping costs ni balaa sana tena by air!

Na kuvunjika ni nje nje!

Kuhusu kusafirisha vitu hai ulaya wapo makini zaidi na standards wanazo!

Nadhani kuna vipimo na certificates za ukaguzi na other things watakuwekea!

Kwa samaki ni rahisi maana usafiri wake ni easy!

Watu kibao wanaagiza vifaranga Netherlands vinakuja na ndege,the same procedure with live fish!

Personally,sijaagiza bado ila ni easier than kuagiza glass box kubwa namna ile
 
Nachotaka ni zile glass na mashine zake za ku push maji!

Nataka box la ukubwa mkubwa sana kama 4mX2.5mX3m

Nataka 2pcs

Samaki wa kuweka mle nanunua online wanakuja na ndege..

Ni heri ununue online!

Uswahili wapo wachache halafu bei ni takatifu...

Halafu ni heri uchukue kizazi cha kwenye glass uweke kwenye glass kuliko kizazi cha bahari directly kwenda kwenye glass,kufa ni rahisi zaidi!
Ulifanikiwa?
 
Ulifanikiwa?
Sijafanikiwa mkuu

Shida ni material ya glass kujenga hilo box maana ni customized....

Nataka la kujengea kwendana na ukubwa wa sehemu yangu....

Mafundi hakuna,mpaka utume vipimo china wakujengee usafirishe mpaka uswahilini,which is another hell of a job
 
Pooleee
Endelea kufuatilia utapata tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom