Natafuta kiwanja eneo la bunju shule

Natafuta kiwanja eneo la bunju shule

makedonia

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
4,362
Reaction score
3,655
Waungwana..naomba kujua bei ya kiwanja cha kawaida cha kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu eneo la bunju shule karibu na barabarani karibu na kabisa la roma hapo....natanguliza shukrani.
 
Waungwana..naomba kujua bei ya kiwanja cha kawaida cha kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu eneo la bunju shule karibu na barabarani karibu na kabisa la roma hapo....natanguliza shukrani.
Mimi niuza changu kipo karibu na shule ya msingi bunju milioni 15
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom