Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

BongoLocate

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
484
675
d40b5b3f7479b63c11ac46eaf68b210f.jpg

7b04fa70b65cc45aed66cbc6c96d4bce.jpg

ca864145fa8c82e970048bf94e481294.jpg

Bestates Properties
Contact: 0786157788

Kinauzwa • TSh bilioni 5.5 (mazungumzo yapo)

Kina hati • matumizi ya biashara

Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
 
2e40d199c02a89d1ba454c9e90c3bf86.jpg

08f45077e88e6a07c97c3ebc90612d1e.jpg

818193df310dbdf6c06e78e3c7b3a9bf.jpg

Bestates Properties
Contact: 0786157788

kinauzwa • TSh milioni 10 • Shirikisho, kata ya Somangila, Kigamboni • kilomita 22 kutoka ferry au 2 kutoka Dege Eco Village • kiko karibu na barabara kuu ya lami iendayo Kimbiji

kina nyaraka toka serikali ya mtaa • kiko kwenye ardhi ya makazi • ni tambalale na hakituamishi maji • kina wastani wa eneo la mraba 805m²

*Subscribe kwa kugusa au kugonga alama ya vema au tick iliyopo upande wa juu wa kifaa chako ili kupata updates kuhususiana na ardhi, ujenzi na mali zisizo hamishika.

Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
 
f9e37a92a89c7784618463174ac5df8a.jpg

Bestates Properties
Contact: 0786157788

vinauzwa • wastani wa TSh milioni 8 • [HASHTAG]#Mbutu[/HASHTAG], kata ya Somangila • kilomita 24 kutoka ferry mpaka site au 4 kutoka barabara kuu iendayo Kimbiji (Dege Eco Village)

vimepimwa • wastani wa ukubwa wa eneo ni 400sqm • ni tambalale na havituamishi maji • kuna wastani wa mita 700 kutoka ufukweni • hati zitaandaliwa baada ya malipo

*Subscribe kwa kugusa au kugonga alama ya vema au tick iliyopo upande wa juu wa kifaa chako ili kupata updates kuhususiana na ardhi, ujenzi na mali zisizo hamishika.

Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
 
Una matatizo ya akili for that price.. ndio maana biashara mnafeli sana na you never ever succeed..!! Why..? Bcoz hata ile idea tu ya uhalisia wa vitu hamjui, that is unaweka bei kama uko peponi vile, na ww mwenyewe maskini kabisa.. and you failed hata kujua bei ya hapo ni kiasi gani, maeneo yote hayo nayajua wazi, kuanzia AVIC town hadi Dege Eco village, bei hata nusu ya hiyo haijafikia.. huko mbele mwisho wa lami Dege Eco mbele kidogo tu, ekari moja ni mil hadi 2 unapata.. na maeneo yote hayaja pimwa.. na wala hakuna bei za sq meter wala nn huko..!! Sijui ww umetoka wapi? Nakuapia, hupati mteja hata kidogo, na nikuweke wazi, watu wajanja sana siku hz, hakuna hela, kabla ya kununua eneo au gari au nyumba, wanajua bei halisi au bei inayoendana na uhalisia..
 
Umesema ukweli mkuu....unajuwa watanzania wengi hawajuwi biashara, yaani hawana idea yeyote ile ya biashara. Utakuta mtu anaweka bei ya kitu Fulani kwa kukurupuka bila kuzingatia hali halisi ya maisha ya hapa Tanzania. Ule utawala wa wizi wa Kikwete umepita na uzuri ni kwamba si kila mtanzania alikuwa na uwezo wa kuiba serikalini....jamani madalali mjifunze kwa wenzenu.
 
Una matatizo ya akili for that price.. ndio maana biashara mnafeli sana na you never ever succeed..!! Why..? Bcoz hata ile idea tu ya uhalisia wa vitu hamjui, that is unaweka bei kama uko peponi vile, na ww mwenyewe maskini kabisa.. and you failed hata kujua bei ya hapo ni kiasi gani, maeneo yote hayo nayajua wazi, kuanzia AVIC town hadi Dege Eco village, bei hata nusu ya hiyo haijafikia.. huko mbele mwisho wa lami Dege Eco mbele kidogo tu, ekari moja ni mil hadi 2 unapata.. na maeneo yote hayaja pimwa.. na wala hakuna bei za sq meter wala nn huko..!! Sijui ww umetoka wapi? Nakuapia, hupati mteja hata kidogo, na nikuweke wazi, watu wajanja sana siku hz, hakuna hela, kabla ya kununua eneo au gari au nyumba, wanajua bei halisi au bei inayoendana na uhalisia..
Tatizo udalali mkuu, njaa, na kutaka kupiga hela za haraka haraka
 
f9e37a92a89c7784618463174ac5df8a.jpg

Bestates Properties
Contact: 0786157788

vinauzwa • TSh elfu 20 kwa mita 1 ya mraba (1sqm) • [HASHTAG]#Mbutu[/HASHTAG], kata ya Somangila • kilomita 24 kutoka ferry mpaka site au 4 kutoka barabara kuu iendayo Kimbiji (Dege Eco Village)

vimepimwa • wastani wa ukubwa wa eneo ni 400sqm • ni tambalale na havituamishi maji • wastani wa mita 700 kutoka ufukweni • hati zitaandaliwa baada ya malipo

*Subscribe kwa kugusa au kugonga alama ya vema au tick iliyopo upande wa juu wa kifaa chako ili kupata updates kuhususiana na ardhi, ujenzi na mali zisizo hamishika.

Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
Mkuu naomba unitafutie hicho cha mil 2 karibu na bahari, Mungu atakulipa mara 100 kwa wema wako
 
@JayOne, Mwenyezi Mungu akusamehe kwa kuwa hujui ulinenalo.
Milioni 8 siyo pesa kwa kiwanja kilichopimwa cha 20x20 tena mita 700 tu kutoka baharini
Ukileta hapa maswala ya ekari, hapo unazungumzia mashamba na si viwanja.
Rudi upya kajipange ndo uje uvuruge biashara za wengine na hiyo ndo sifa kubwa ya kiumbe aliyeshindwa maisha.
Kama we huna hela, usiwasemee wengine kuwa hawana. Ni bora ujitetee ki mpango wako kwa kile kidogo ulichonacho kuliko kujifanya mwalimu uchwara huku hufahamu hata kipimo cha mauzo ya ardhi.
Nyinyi ndo mnawanyonga wakulima kwa vipimo vya lumbesa badala ya kilo kisha mnajisifu mmepata faida.
Uzoefu ulionao kwenye masuala ya ardhi ni uzoefu uchwara hivyo uliza uelimishwe badala ya kulalama.
Na kwa taarifa yako katika viwanja 200, vimebaki saba tu.
 
Una matatizo ya akili for that price.. ndio maana biashara mnafeli sana na you never ever succeed..!! Why..? Bcoz hata ile idea tu ya uhalisia wa vitu hamjui, that is unaweka bei kama uko peponi vile, na ww mwenyewe maskini kabisa.. and you failed hata kujua bei ya hapo ni kiasi gani, maeneo yote hayo nayajua wazi, kuanzia AVIC town hadi Dege Eco village, bei hata nusu ya hiyo haijafikia.. huko mbele mwisho wa lami Dege Eco mbele kidogo tu, ekari moja ni mil hadi 2 unapata.. na maeneo yote hayaja pimwa.. na wala hakuna bei za sq meter wala nn huko..!! Sijui ww umetoka wapi? Nakuapia, hupati mteja hata kidogo, na nikuweke wazi, watu wajanja sana siku hz, hakuna hela, kabla ya kununua eneo au gari au nyumba, wanajua bei halisi au bei inayoendana na uhalisia..
Wewe utakuwa ni dalali wa viwanja unaweza ukatusaidia kujua bei elekezi ya uko
 
Mbona mita 700 ni mbali Sana na ufukwe wa bahari? Lakini unavyoiekezea kana kwamba viko karibu na bahari?! Mita 700 ni zaidi ya nusu kilometa mjomba! Au Siyo! Fafanua vizuri ndugu. Biashara yako nzuri lakini toa maelezo sahiii..
 
Wananiboa sana wanaotaka pesa ya mtu kiurahisirahisi.Juzi mfanyakazi mwenzangu alikuwa anaomba nimsaidie kunadi nyumba ya mjomba wake , Iko Keko Magurumbsi eti bei ni ml.200, Nilimwona hana utofauti na chizi .Mimi nimenunua viwanja vlivyopimwa na kampuni ya REAL ESTATE kwa bei ya chini mno,anayetaka awacheki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom