Ni vitabu vya ujasiriamali, biashara na maendeleo binafsi vilivyoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Kila kimoja kina mada za kipekee, havifanani. Unaweza ukanunua kimoja, viwili au hata vyote vitatu...
Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali...
Location ni Iringa mjini miyomboni mkabala na msikiti wa ijumaa
Pia Kinondoni studio kituoni kushoto ukitokea magomeni
Whatsap/call 0718 239 676 &0713 291 172
Karibuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm...
Kipo Kibaha kwa Mathias.
Ukubwa wa squire meter 600
Milioni 3
Umbali km 5 toka Morogoro road
Barabara nzuri imewekwa lami, bado kidogo ikamilike
Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja
0672...
Je, Umeshabadilisha Muonekano wa Nyumba Yako [emoji3060]
Kama Jibu ni Bado Karibu Wallpanel Decor Tukubadilishie Muonekano wa Nyumba Ofisi Frame n.k [emoji94][emoji16]
Tunaweka Wallpanel design🫣...
Habari wakuu, title inajieleza,
Spec RAM kuanzia 4Gb
Hdd kuanzia 500Gb
Processor 2.4 Ghz
Battery iwe inakaa na charge
Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..!
Hela iko mfuko wa...
Waungwana..naomba kujua bei ya kiwanja cha kawaida cha kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu eneo la bunju shule karibu na barabarani karibu na kabisa la roma hapo....natanguliza shukrani.
Bestates Properties
Contact: 0786157788
Kinauzwa • TSh bilioni 5.5 (mazungumzo yapo)
Kina hati • matumizi ya biashara
Pia tunapatikana:
Facebook @BestatesTanzania
Instagram @bestates_tanzania
Wakuu natengeneza na kuunda majiko ya kuchomea nyama kwa kutumia gesi ,majiko yanatumia gesi kidogo kwavile ni low preasure na pia yanachoma kwa haraka sana na pia yanadumu kwa kipindi kirefu...
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c
Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana...
Kama kichwa cha habari kinavyozungumza.
Nina shida ya mtu mwenye vitendea kazi vya kucopy video/mkanda wa sherehe na kuhamishia copy kwenye computer kama soft copy au kuburn kama DVD.
Kama upo...
PS 4 fat gb 500
zipo Gem 7.
FIFA 2022
WRC7
Pes2021
Mortal 11 combart
God of wall
Need for speed heat
Gta5
Pad 2 hazina kipengere
Fika anza kucheza kabla hujalipia
Price Tag read: 590,000 net...
Nauz maziwa ya watoto aina ya SMA, APTAMIL na COW and GATE original kutoka UK, bei ni tsh 55,000 kwa kopo la mil 900, Naleta kwa order ambayo inachukua siku 10 unalipi unapopokea mzigo... For...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.