Habari za mda huu watu wangu wa nguvu tena jukwaa letu pendwa la matangazo madogomadogo.
Nipo hapa kwa ajili ya kuwatangazia kuwa Nauza Router, kifaa kipo Good Condition na bei ni Kitonga kabisa...
Saluni ya kike inahuzwa na kila kitu kilichomo ni Vipya kbsa vina miezi mi 3 tu:
Drayer ya Juu:230k
Steamer:170k
Handdrayer:45k
Pass 50k
Rollas aina 3 tofaut:50k
Conditioner: 13k
Taulo 5:24k
Vioo...
Wanajamii nawasalimu wote . Napenda kuwatangazia pikipiki za miguu mitatu kwa bei nzuri sana, tupo dar es salaam.
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je una bar/pub/hotel/au ofisi yeyote inayohitaji muziki? na hauna deejay? Au unahitaji collection kwa ajili ya kusikiliza katika gari au gheto.
Basi nipo tayari kukutengenezea collection nzuri ya...
Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1
Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya.
Unaweza ukatumia kwa...
* Zimewasili chache na bado tumeagiza mzigo mwingine
* Mashine zinatumia teknolojia maalum (Xfoliant technology) kuondoa ukungu wa taa na kuifanya taa ya gari yako kurudia upta wake
*Ni rahisi...
Wakuu naamini mko poa!
[emoji117]Vioo vya magari yetu vimegeuka matanuri pale tunapo park juani?
[emoji117]Dashbord na siti vinachoma kama pasi pale unapofungua mlango na kuingia garini kwako...
Naihitaji nissan march mgongo wa kobe, mkali unenyooka au mazda demio zingatia iwe Mwanza au Shinyanga, sina hela ya kufata mikoa mingine njoo na offer.
Tunauza korosho nzuri kwa. Bei nzuri kutoka mtwara mahali popote pale Mzigo unakofikia ni kuweka Order yako mapema na kwa wakati , Tupigie kwa No 0712359510,0712359510...BEI ( Price) zetu 25,000...
Wakuu kama kuna mtu anauza/anasukuma gari yake aina ya Mazda tribute anicheki inbox haraka.
Gari iwe kuanzia namba D, good condition, rangi haiharudiwa wala kuwahi kupata ajali, njoo na offer fasta.
Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.