Nahitaji kubadilisha video kwenye VHS tapes kuwa DVD

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,627
Kama kichwa cha habari kinavyozungumza.

Nina shida ya mtu mwenye vitendea kazi vya kucopy video/mkanda wa sherehe na kuhamishia copy kwenye computer kama soft copy au kuburn kama DVD.

Kama upo unaweza kuweka hapa mawasiliano yako kwa faida ya wengi lakini pia na mimi nitachukua mawasiliano yako.
 
Hebu mcheki huyu jamaa 0624132227 jina lake nimemsahau kuna kipindi alinisaidia.
 
Back
Top Bottom