Natafuta meza ya kusomea na kiti

Natafuta meza ya kusomea na kiti

VMWare-Oracle

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2021
Posts
670
Reaction score
928
Wasalaam JFs.

Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu.

Meza iwe na droo moja.

Pesa yangu 70,000 jumla.

Location yangu: Kinondoni, Dar.
 
Wasalaam JFs.

Namtafuta mtu anayeuza vitu tajwa hapo juu.

Meza iwe na droo moja.

Pesa yangu 70,000 jumla.

Location yangu: Kinondoni,Dar.
Changa pesa mkuu ifikie laki 1 na nusu, utapata meza nzuri tu

70000 utapat meza ya kuwekea tv tu
 
Hiyo hela ni kubwa tu. Na unapata vitu vya maana tu.

Fanya hivi nenda Manzese usawa wa kituo cha mwendokasi upande ule wa kushoto kutokea Ubungo. Kuna watu pale wanauza meza simple za kusomea za Cyprus ambayo inaweza kudumu hata miaka mitatu mpk mitano

Kiti nunua vile vya plastic vya cello nitakuwekea picha ya vya kwangu vinauzwa elfu 30 mpk 35.

Usitake makuu sana ya kutafuta meza ya gharama wakati hata ya mbao laini inakidhi hitaji ambalo ni kusomea

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Meza na kiti kusomea mtoto nilichukua kwa laki 1, mkubwa sijui sh ngapi
 
Hiyo hela ni kubwa tu. Na unapata vitu vya maana tu.

Fanya hivi nenda Manzese usawa wa kituo cha mwendokasi upande ule wa kushoto kutokea Ubungo. Kuna watu pale wanauza...
Shukrani mkuu kwa codes.
 
Hii meza kuna jamaa aliniuzia kwa laki na kumi ina muonekano mzuri sana nilinunua kwa ajili ya mwanangu chuo
Screenshot_20220727-133656_WhatsApp.jpg


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Chukua hivi viti mie nilinunua 30k kama vimepanda kwa sasa labda ni 35k. Ni vizuri sana na vinadumu pia havichoshi kama ukikaa unasoma. Viti vya mbao vya mafundi vitakuumiza maana havijatengenezwa kwa vipimo vya kukupa comfortability kama hivi vya kiwandani.
Take my advice young man


20210517_193547.jpg


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mmoja alipoenda A level aliuza kila kitu mpaka godoro akawa anajitesa ili afaulu, mwisho alichoka
Nakumbuka advance tulisoma na msukuma mmoja, jina nakumbuka kabisa alikua anaitwa Fredy.
Jamaa kwanza hakuja na godoro, alikuja na kipande cha godoro vile vinavotengenezewa sofa (mi nilikua nakiita crips), baadae hata hicho akakitupa akabaki na chaga pekee. Mshkaji wangu alikuwa na godoro 2 akampa moja akagoma, tukamwekea kwa nguvu akagoma kabisa na kuanzisha noma.

Hiyo n kdg, alikua analala dk 90 af anaamka kwenda kusoma like 2 hrs, anarudi tena dk 90 kulala mpaka kunakucha. Na huko kusoma alikuwa hatumii summary, mchana vipindi vikiisha anazunguka madarasani anakusanya vipande vya chaki vilivyoachwa, then usiku anaamka anaenda class anakua anasolve ubaoni using zile chaki.

Sijui yuko wapi yule jamaa na kama hajafanikiwa kimaisha then lazima atakuwa anaumia sana.
I remember hata mademu alikua hataki, he used to say akihitaji kuoa ataenda kwa mchungaji then amwambie amchagulie mwanakondoo mmoja chap kwa haraka anafunga nae ndoa.
 
Chukua hivi viti mie nilinunua 30k kamavimepanda kwa sasa labda ni 35k. Ni vizuri sana na vinadumu pia havichoshi kama ukikaa unasoma. Viti vya mbao vya mafundi vitakuumiza maana havijatengenezwa kwa vipimo vya kukupa comfortability kama hivi vya kiwandani.
Take my advice young manView attachment 2414122

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Working on it...
 
Back
Top Bottom