viwanja vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

viwanja vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by guta2010, May 21, 2010.

 1. g

  guta2010 Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey kuna viwanja vinauzwa eneo rote ni eka 60 lipo kongowe wasiliana nami kwa +255714104800.
   
 2. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani, hata kama lafudhi za matamshi zinatofautiana kulingana na asili ya mtu, hata kuandika nako?
  Eneo rote???

  Bei unayotaka ni shiringi npapi?
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu unauza eneo lote au vimepimwa na kukatwa katwa?
   
 4. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu ungetoa kabisa na bei watu wakurukie hewani.
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  vimepimwa? manake wengine walishaliwa sana kimara na mbezi luis
   
 6. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ugomvi huo mie simo kama anatoka Tarime Kata ya Nyamongo unafikiri nani atakuamulia.
   
 7. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umsema viwanya kisha unasema eneo rote(lote) tukueeleweje kaka? Hebu jipange ili utupe ujumbe unaoeleweka ili tuchangamkie.Ardhi ni mali hakuna utani hapa>
   
 8. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  lakini nadhani umemwelewa!
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  vema lakini vina hati miliki?
   
 10. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  oK MIDA NAKURUKIA HEWANI LAKINI BEI INAELEWEKA????????????????
   
 11. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kongowe ziko maeneo mawili tofauti ninayofahamu mimi. Ya kwanza ni Kongowe njia ya Mkuranga na ya pili ni Kongowe kule Kibaha!! Sasa unamaanisha ni Kongowe ipi? Na viwanja vina ukubwa gani? Maana inaelekea kuna ekari 60 zinagawanywa viwanza, je vinagawanywaje? Na kama nikitaka shamba lote ni aje? Naamini pale Kongowe ni Halmashauri ya Kibaha na ndiyo maana watu wanataka wauze mashamba chapuchapu kabla ya mpango wa kupima viwanja kuanza siku za usoni!!!
   
 12. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2010
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha ushamba Guta, toa maelezo ya kujitosheleza, ukitoa maelezo kama hayo utapokea simu mpaka ukasirike. Toma maelezo ya kupunguza watu kwenye foleni. Siku nyingine usirudie.
   
Loading...