Msaada: COTTAGE CHEESE, WITH 1% FAT CONTENT IN IT AND SHOULD BE ORGANIC – PRESEVERATI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: COTTAGE CHEESE, WITH 1% FAT CONTENT IN IT AND SHOULD BE ORGANIC – PRESEVERATI

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Sophist, May 19, 2010.

 1. Sophist

  Sophist JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 3,083
  Likes Received: 1,730
  Trophy Points: 280
  Hello all

  I hope all is well with you wherever you are and in what you are trying to accomplish !!!


  Jamani, kama kuna mtu anamjua nduguye/rafiki/jamaa ambaye kwa sasa yupo marekani na anategemea kusafiri kurudi Dar es salaam – Tanzania hivi karibuni basi naomba nitaarifiwe

  Ninahitaji kumwagiza one of the food supliment ambayo naitumia kwenye combination of the food supplement regime that I am currently trying to fight MY LEUKEMIA

  We have failed getting it in all supermarkets in Dar and in Nairobi as well, I am trying to see if we can get it from Zimbabwe or SouthAfrica but it is pretty available in United States of America – Kwenye Health Food Stores. The supplement is called COTTAGE CHEESE, WITH 1% FAT CONTENT IN IT AND SHOULD BE ORGANIC – PRESEVERATIVE FREE

  Thanks for your help – if you know anyone please call me – 0712959358 or 0763820045

  Thanks

  Fadhili
  FMatimbwi@deloitte.co.tz
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Please help our friend if you can!!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  umejaribu kuwasiliana na kiwanda cha maziwa Tanga (sina uhakika kama bado kipo). Mimi binafsi nilikuwa naagiza toka kwao siagi alisi ya ng'ombe... jaribu kuwasiliana nao kama bado wana-operate.
   
 4. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Naungana na X-paster, kwa vile hii ni cheese itakuwa vyema source ikawa hapo ulipo. Wishing you all the best.
   
 5. k_u_l_i

  k_u_l_i Senior Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: Jan 26, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama huna haraka mimi naweza kukusaidia ila kiwango kisiwe kikubwa. Ndani ya mwezi mmoja nategemea kutuma mzigo kutoka marekani kuelekea Zanzibar. Nijulishe kama huo muda unakubalika na pia kiasi gani unahitaji.

  ¬K
   
Loading...