Nyumba inauzwa-Kijitonyama kwa bei nafuu

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
297

Ipo Kijitonyama kwa Alimaua. Inauzwa sh 45,000,000/= .

Down payment ya 30,000,000/- inapokelewa.

Ina vyumba kumi. Imepangishwa.

Kila chumba kinalipiwa kodi shs 30,000/= kwa mwezi.

Bandika bandua akiondoka mpangaji mmoja siku hiyo anaingia mwingine.

Kwa hivyo 30,000/- kwa mwezi x miezi 12 chumba kimoja unapata shs

360,000/-.

Kwa vyote kumi kwa mwaka unapata shs 3,600,000/-.

Hii fomula imekusudiwa kwa ajili ya watakaopenda kuinunua kwa ajili ya malengo

ya kiuwekezaji.

Piga simu 0717114409 au 0755312233 au 0784225000
 
Attachments

  • DSC05857.JPG
    DSC05857.JPG
    44.3 KB · Views: 176
hizo hesabu zako nadhani hujazimalizia kama dhumuni lako ni kuonyesha return of investment................
 
Ipo Kijitonyama kwa Alimaua. Inauzwa sh 45,000,000/= .

Down payment ya 30,000,000/- inapokelewa.

Ina vyumba kumi. Imepangishwa.

Kila chumba kinalipiwa kodi shs 30,000/= kwa mwezi.

Bandika bandua akiondoka mpangaji mmoja siku hiyo anaingia mwingine.

Kwa hivyo 30,000/- kwa mwezi x miezi 12 chumba kimoja unapata shs

360,000/-.

Kwa vyote kumi kwa mwaka unapata shs 3,600,000/-.

Hii fomula imekusudiwa kwa ajili ya watakaopenda kuinunua kwa ajili ya malengo

ya kiuwekezaji.

Piga simu 0717114409 au 0755312233 au 0784225000

Mzee Kitomai, huko si bondeni kabisa na inaonekana Mvua ikinyesha ni Noma- Umeweka Kijitonyama ili kuvutia nini?
 
mitazamo ya mwekezaji ianaweza kuwa tofauti na ya kwako.
 
hahahahahah! lol! usiseme kweli sana bwana kuna watu wanaishi huko!
Unaulizia gari? huko gari unaacha ofisi za CCM ahalafu unavaa ndala unakwenda kwako. Asubuhi viatu unavalia kwenye gari
 
Back
Top Bottom