Gari inauzwa: Toyota townace noah

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Ndugu wana JF

Nauza Gari hili kwa bei nzuri sana!!

Aina ya gari ; TOYOTA TOWNACE NOAH
Idadi ya Milango: 4
Idadi ya Abilia: 8
Drive type 4wheel drive
Mwaka: 1999

Lipo Dar, picha zimeambatanishwa kupitia link hii: http//www.sendspace.com/file/m13nt0

Kwa mawasiliano zaidi pse piga No. 0715 110111 , 0754313600 ama 0774207799

Ni gari zuri na kwa bei nafuu!!!


Karibu.
 
Kias gani mkuu tuambie kabisa bei nafuu ni kias gani
Pia link yako haifunguki.Kwann usiweke picha za hiyo gari hapa jamvin kuliko kuwasumbua watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom