Nyumba mpya inauzwa bei karibu na bure! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba mpya inauzwa bei karibu na bure!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Nov 23, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Ipo MBEZI MAKABE. Ipo katika eneo lililopimwa. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja self contained, sebure, dinning, jiko, imezungushiwa uzio imara, ina tiles katika vyumba vyote. Bei 65mil. Maelewano yapo. kwa mawasiliano piga simu 0717114409/0755312233/0784225000
   

  Attached Files:

 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mbezi Makabe iko wapi?
   
 3. m

  mwanaharakati2 Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Una maana gani unaposema mbezi makabe imepimwa? au una maanisha nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa kwa kujipimia mwenyewe. Kupimwa eneo zima na kujipimia kiwanja ni vitu viwili tofauti. Tunafahamu kuwa Maeneo ambayo yamepimwa kutokana na takwimu za wizara ya ardhi ni machache sana hapa Dar, mfano Tegeta,Bunju,Mbweni, Mbezi Beach, Mikocheni,Sinza,Kijichi,tuangoma,mwanagati,buyuni, kisota,buyuni,mwanagati,kibamba (only part),mwongozo, kinyerezi. kama kuna ambalo limesahaulika ni bahati sana. Please clarify
   
 4. TATE

  TATE Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sala sala hapajapimwa?
   
 5. m

  mwanaharakati2 Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Duuh sorry mkuu, salasala niliisahau. Kuna eneo dogo la salasala
  Limepimwa kupitia ule mradi wa bomba la gesi la tazama. Nilichokuwa
  Namaanisha ni kuwa maeneo mengi ya makazi yamesahaulika sana kupimwa. Na
  Hii imesababisha kuwa na skuata nyingi hasa maeneo ya mbezi ya wastaafu/kimara
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  huko mbezi luis makabe kimara ujambazi balaa roho mkononi
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Eh bei imeongezeka tena au iliandikwa kimakosa kwani ilikuwa 56 millioni vipi tena Kito
   
Loading...