Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

wadau wa jf kuna nyumba nzuri ya vyumba 3, choo, bafu, jiko, store, dinning room, sitting room na eneo kubwa tu la uwanja inauzwa. Umeme na maji vipo. Ipo kimara mwisho - ghorofani nyuma ya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi natafuta nyumba maeneo ya Kijitonyama, Sinza, Mwenge, Msasani, Kinondoni, Iwe ya vyumba viwili vya kulala, siting room, bafu, choo na Jiko fesi na mahali pa kulaza gari. Gharama isizidi sh...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ya kupanga inahitajika sehemu za Kimara, Ubungo, Survey, Mbezi beach n.k Kodi isiwe zaidi ya TZS 200,000.00 kwa mwezi Namna ya malipo : Miezi sita Maelekezo ya nyumba: kuwe at least...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Dear jamii members I am very sad to announce the death of my dear cousin Mary Mwingira who has passed away today RIP
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Shamba linauzwa Liko Kigamboni Km 27 toka kigamboni ferry nje ya mradi,unapita njia ya Dar es salaam zoo ziko zaidi ya heka kumi kila heka Tsh milion moja halijapimwa.Kwa wahitaji piga 0784876210
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataka kununua mitsubishi canter, kati ya tani 1.5 and 2. Tuwasiliane kwa 0785 12 98 75
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta Kiwanja Cha Kujenga nyumba ya makazi Dodoma na kiwe kimepimwa. Sina uchaguzi na eneo iwe; Makole, Chadulu, Kisasa nk. nk. Sichagui. Mwenyenacho ani PM!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WE OFFER TRANSLATION SERVICES AT REASONABLE RATES. WE TRANSLATE MANUALS, LETTERS, LESSONS, HANDOUTS, BOOKS, STORIES FROM WRITERS, SCRIPTS AND SUBTITLES. ALSO SECRETARIAL SERVICES, INCLUDING...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani, waungwana, nahitaji mtu anipe crash course ya Adobe Dreamweaver CS3, for Windows. Nina foundation knowledge ya mambo ya web development, ila sikuweza kutumia hii application. Kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Iwe na vyumba viwili. 2. Pawe na maji na sio mbali na barabara. 3. Kati ya maeneo yafuatayo 1. Mbezi luis 2. sinza 3. Kimara 4. Tabata. 4. Vyumba viwe ndani ya fensi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Attention Property Owners and Landlords for quick selling and renting of your properties please register with us !!! You can send property details at this email: kitomai.1stchoice@gmail.com or...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa wewe ni mwajiriwa serikalini na unafanya kazi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Manyara,unaweza kupata msaada wa mkopo mdogo usiozidi shilingi laki moja wakati wowote upatapo dharura...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ipo Kijitonyama kwa Alimaua. Inauzwa sh 45,000,000/= . Down payment ya 30,000,000/- inapokelewa. Ina vyumba kumi. Imepangishwa. Kila chumba kinalipiwa kodi shs 30,000/= kwa mwezi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ndugu wana JF Nauza Gari hili kwa bei nzuri sana!! Aina ya gari ; TOYOTA TOWNACE NOAH Idadi ya Milango: 4 Idadi ya Abilia: 8 Drive type 4wheel drive Mwaka...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wapwa zangu zanzibar na mahali pengine mnaouza vitu ambavyo ni used nahitaji video camera aina ya sony 3ccd pd170 natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wadau, Natafuta laptop, budget yangu ni TZS 500,000 max ikipatikana chini ya hapo itakuwa vizuri pia. Preffered specs 120gb, 15" flat screen, 2.8 ram. Mwenye mzigo tuwasiliane 0785 997688.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
we offer reliable and speedy clearing and forwarding services, please contact us on +255716506093 for your sea freight, airfreight, exports and consolidation shipments. We also do packing and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni vyumba viwili na sebule katikati pia kuna uwanja wa kutosha kujenga nyumba ya vyumba vinne ipo chanika msumbiji karibu na secondary ya kimwani. bei ni maelewano piga namba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ipo MBEZI MAKABE. Ipo katika eneo lililopimwa. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja self contained, sebure, dinning, jiko, imezungushiwa uzio imara, ina tiles katika vyumba vyote. Bei 65mil...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani kama kuna mtu ana details ya connections kwenda Seychelles please anisaidie, nina maana nikitaka kwenda naunganishia wapi ndege, nitashukuru kama kuna anaejua na nauli yake tafadhali! Mungu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…