Natafuta kiwanja Moshi mjini

Natafuta kiwanja Moshi mjini

Seacliff

Senior Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
158
Reaction score
152
Wana JF natafuta kiwanja kwenye eneo nzuri na la low density Moshi mjini. Nitashukuru sana kama kuna mtu yeyote ambaye anaweza kunipa ideas.
 
Mosh mjin kupata kiwanja cha low density saiv ni kazi...viwanja kama ivyo vipo nje ya mji kidogo maeneo ambayo ni karibu na mji na soon yataiingizwa manispaa....for feature hayo ndo maeneo ya kuteka nw...yanakuwa kwa kasi...
 
Cha nje ya mji kidogo ni sawa. Kama unacho naomba info nitashukuru sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom