Laptop mpya inauzwa

Laptop mpya inauzwa

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Habari zenu,
nauza laptop aina ya P8 packard bell ni mpya na ina sifa zifuatazo:
3 GB RAM
320 Hard Disk
DVD-RW super multi DL drive
15.6 HD LED LCD
1.3 MP webcam
Intel Core i3-330M processor
Intel HD Graphics
Na inatunza umeme masaa matatu
Bei ni laki saba na hamsini elfu( Tshs. 750000). tuwasiliane kupitia 0655-003510
 
P8 packard au Hewlet Packard?kampuni p8 sijawahi sikia au mchina?
 
Mimi nadhani ameongelea 1 na pia katoa simu apigiwe kwa ajili ya maswali zaidi
 
kaka usikimbilie kusema kila kitu ni cha mchina, hapa nimeweka kwa wale ambao wako willing kufanya biashara na mm so akija kuiona ndo atajua ni mchina au vp. shida unaishi kwa mazoea ndugu' funguka. hakuna kampuni mbili tu kama ulizozoe ww, or ulitaka nikwambie dell au hp. waachie wenye nia bingwa.
 
kaka mashine iko moja na kama uko serious nicheki kwa namba hiyo hapo nimeweka. ahsante kwakuichek post yangu
 
ni laptop nzuri na ni ngumu sana ila sauti mzee ni matatizo kwa packard bell!
 
Back
Top Bottom