CAMERA AINA YA CANON(coolpix) INAUZWA:

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
CAMERA AINA YA CANON(coolpix) INAUZWA: 8.1MegaPixels...,,5* digital zoom...,High Definition(HD)...,,WiFi enabled...,,8GB memory card..,,charger and camera case...inapatikana kwa bei nzuri sana
 
bei nzuri sana hiyo mkuu, wateja watafurika'.......
 
CAMERA AINA YA CANON(coolpix) INAUZWA: 8.1MegaPixels...,,5* digital zoom...,High Definition(HD)...,,WiFi enabled...,,8GB memory card..,,charger and camera case...inapatikana kwa bei nzuri sana
Bei nzuri sana ndio nini au ndio kiasi gani unaposema 'bei nzuri sana' du mafumbo kama tuko kwenye taarabu za Mzee Yusuph
 
Rudimentary biz skills hatuna, bei nzuri ndo mdudu gani?

Mimi mwenyewe huwa nakerwa sana na haya matangazo ya "bei nafuu,bei nzuri n.k" kwa nini usitaje? waswahili bwana hapo utakuta anajua kabisa bei halisi ya kuuza ni 200,000(say) yeye utakuta anakuanzia 350,000 ili mradi tu mtumie muda mwingiiiiii kupiga domo wakati unabembeleza! Shit!!
 
Back
Top Bottom