bei nafuu za roofing materials

bei nafuu za roofing materials

emmanuel1976

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
301
Reaction score
80
jamani nisaidieni, nina kakibanda kangu kanahitaji kuelezekwa hapo kitunda, Dar...nahitaji kujua wapi nipate mabati kwa bei nzuri na vifaa vingine vya finishing. Nahitaji mabati ya migongo mipana ya aluminiamu . Msaada please!
 
Hayo siyo bei nafuu! Ukitaka bei nafuu nunua ya kawaida ''30 ni malaini kama pazia
 
Hayo siyo bei nafuu! Ukitaka bei nafuu nunua ya kawaida ''30 ni malaini kama pazia

sidhani kama "30 ya siku hizi ni "30 kweli nahisi ni "36 maana hata kunguru akitua linabonyea, iwe mgongo mpana au mwembamba
 
Back
Top Bottom