B Bob Nash Member Joined Aug 21, 2009 Posts 64 Reaction score 0 Aug 8, 2011 #1 Imetumika kidogo tanzania, iko katika hali njema kabisa, bei ni fixed , kwa mawasiliano 0654-633109 Attachments SDC14284.JPG 95.1 KB · Views: 128
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Aug 8, 2011 #2 Mkuu, mbona bei imechangamka hivyo!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Aug 8, 2011 #3 Kwa hiyo bei mkuu si napata moja kwa moja Japan used ya 2004 hata kama itakuwa auto?
B Bob Nash Member Joined Aug 21, 2009 Posts 64 Reaction score 0 Aug 9, 2011 Thread starter #4 Mkuu ukipata site wanayouza hilo gari japan na tukakakokotoa kodi lisizidi hio bei niliyotaja ntakushukuru sana bosi
Mkuu ukipata site wanayouza hilo gari japan na tukakakokotoa kodi lisizidi hio bei niliyotaja ntakushukuru sana bosi
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,629 Aug 9, 2011 #5 hii ni biashara yako? nitahitaji kama hiyo but around december hivi nitumie contacts zako kama ni biashara yako
hii ni biashara yako? nitahitaji kama hiyo but around december hivi nitumie contacts zako kama ni biashara yako
Kireka1980 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2008 Posts 302 Reaction score 44 Aug 23, 2011 #6 vp mkuu bado ipo au?