Natafuta mchimba kisima

Natafuta mchimba kisima

Matumaini

Member
Joined
Jul 31, 2008
Posts
49
Reaction score
8
Natafuta mchimba kisima kwa ajili ya nyumba yangu Kigamboni. Naomba mwenye contacts za kampuni / mtu anayechimba anipatie. Natanguliza shukrani
 
Nenda Maji ubungo ndio kuna wakala wa kuchimba visima,hata wafanyakazi wa hapo wana vikampuni vyao vya uchimbaji visima utawapata tu
 
mimi ninao jamaa wanaodeal na drilin' 0715999966 unaweza muuliza kuhusu uchimbaji
 
Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani??
 
Jamani nyongeza ya swali mita 100 inafaa sana kwa maji ya muda mrefu?? kama utaamua kuchimba na je kwa mita bei gani??
<br />
<br />
Sasa unaambiwa muulize mtu anayehusika na namba ya simu umepewa wewe unazidi kututwanga maswali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom