Viwanja/ Nyumba zinauzwa kimara na tabata na bei zake

Ndeonasiae

Senior Member
Joined
Aug 15, 2011
Messages
102
Points
0

Ndeonasiae

Senior Member
Joined Aug 15, 2011
102 0
Piga namba 0716622185 au 0759311775

Kuna kiwanja kinyelezi karibu na tank kubwa la maji la kinyelezi.

Upana ni mita 33 na urefu ni mita 21. Upana wa barabara ya kuingilia kwenye kiwanja ni futi 18 na urefu wa kutoka kwenye kiwanja hadi kwenye barabara ya mtaani hapo ni mita 25. Kiwanja kipo flati. Jirani kuna nyumba nyingine zimeshajengwa na ni za kisasa na zina uzio. Bei ni shilingi 18 milioni mapatano yapo.

Kuna nyumba kinyelezi yenye vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom vyote vikiwa na makabati, jiko na store, vibaraza viwili cha mbele na cha nyuma, choo na bafu za umma ziko ndani, pia sebule na dinning. Nyumba iko kwenye lenta na ni kubwa. Ukubwa wa eneo urefu ni mita 28 na upana ni mita 25. Ndani ya eneo hilo pia kuna kisima cha maji yasiyo na chumvi cha kisasa chenye urefu wa futi 30 na kimefunikwa juu na ufungwa na kufuli. Bei ni 28 milioni.

Eneo hilo limepakana na kiwanja kingine chenye urefu mita 33 na upana mita 25. Bei ni 20 milioni na mapatano yapo. Vyote gari inafika hadi hapo na si mbali na barabara za mitaani na kuna nyumba za kisasa zimesha jengwa.


Kuna viwanja vitatu vilivyo pakana. Eneo ni kimara bonyokwa karibu na shule ya Paradigms. Ukubwa wa viwanja hivyo ni mita 20 kwa 20 kila kimoja. Ni kilomita 3 na nusu kutoka kimara mwisho morogoro road. barabara ya kupita gari ndogo hata kubwa iko hadi hapo kwenye viwanja na na ni nzuri. ni mita 20 kutoka kwenye barabara ya mtaani na viko flati. Jirani kuna nyumba za kisasa tayari zimesha jengwa. Umeme hauko mbali pia na maji si shida. Mbele ya viwanja hivyo kuna barabara inayotokezea mbezi, airpot, segerea, tabata nk, Bei ni 7 na nusu milioni kila kimoja.


Eneo hilo hilo pia kuna kiwanja chenye ukubwa, urefu mita 20 na upana mita 15 gari zinaingia hadi hapo. Bei yake ni milioni 4 na laki 3. Mbele ya kiwanja hiko kuna kiwanja kingine chenye urefu mita 20 na upana mita 20. Bei yake ni 10 milioni.


Eneo hilo hilo jirani kuna kiwanja chenye urefu mita 45 na upana mita 23. Ndani ya kiwanja hicho kuna kisima chenye urefu wa futi 33 na kina maji safi baridi kilicho chimbwa na kujengewa kisasa. Bei ni 8 na nusu milioni. Gari inaingia hadi kiwanjani na barabara ni nzuri sana.


Ndugu mteja, viwanja vyote hivyo ni vya halali na utauziwa kihalali kwa kufuata taratibu za kisheria kupitia serikali za mitaa, mjumbe, mahakama au mwanasheria nakupatiwa uhalali wa kumiliki kiwanja husika KARIBUNI NYOTE.
 

Forum statistics

Threads 1,357,842
Members 519,109
Posts 33,154,257
Top