CRESTA GX 100 inauzwa I G KM 143 000 KM IKO POA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRESTA GX 100 inauzwa I G KM 143 000 KM IKO POA

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Salas, Aug 23, 2011.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Muuzaji ameona ni wehu kuwa na gari wakati hana hata chumba kimoja hivyo ameamua auze gari ili anunue kiwanja ajenge walau vyumba viwili, changamkia deal chapu chapu kama unataka picha ni PM. IKo kwenye hali nzuri dalali hahitajiki
   
 2. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  We ni dalali au owner??
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Counselor wa mwenye gari sihitaji kuwa dalali
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,377
  Likes Received: 605
  Trophy Points: 280
  Kwa nini na wewe usinge watumia PM hao prospective wateja zako badala ya kuusumbua umma wote? Mijitu mingine shombo sana.
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  sh. ngapi?
   
 6. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red unaonekana unafikiria kwa kutumia masaburi, hakika tutapitisha questionnaire kwa members ili wanao fikiri kwa masaburi waondoke
   
 7. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Million 5 kamili
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,377
  Likes Received: 605
  Trophy Points: 280
  Nakushauri, waite watu walikatekate uuze kama chuma chakavu.
   
 9. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umeona eeeeeeeeeeh yani nikikuambia tena unafikiria kwa masuburi yasio chambwa utanitafutia ban bure
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,377
  Likes Received: 605
  Trophy Points: 280
  Hakuna takaye kupiga ban, kila mtu anaelewa frustration za madalali hasa kipindi hiki kigumu.
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,977
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  Mpwa are you serious? ni wewe mwenyewe au ni nani anayeuza? tafadhali naomba ni PM na hio picha pia pamoja na details zote muhimu Thanks
   
 12. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 379
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani deal is closed the thing is you need to offer reasonable price you close the deal in minutes................I love be brainy in this country huwezi ukaweka faida kwenye gari lililotumika, kiwanja ndio kinacho appreciate price. Ngojea nielekee kibaha nikanunue shamba sasa
   
 13. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 0
  Hahahaa, Mkuu Salas; kumbe cresta ilikuwa yako bana; kwa vile umeshapata pesa ngoja nikutafute nikupe kanseling ununue gari mpya bana, utapitwa na mambo bana, hahaaaa!
   
 14. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,729
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 180
  Salas wewe n i mnoma.

  Yaani umetoa Tangazo within one hour gari imeshanunuliwa tena hapa hapa JF, halafu hata picha hujaweka!! kula tano.
   
 15. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hata mimi nimemkubali kwani ulikuwa unauza gari au picha ya gari?
   
 16. samito

  samito JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haha haa ivi ni nin kilikuwa kinauzwa? masabur au? maana ndo naona limetawala
   
Loading...