Kiwanja: Kitunda Kivule - Tshs 2,500,000 (mita 20x23).

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
84
Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20x23 kinauzwa, kipo kitunda kivule tsh 2,500,000/=, maelewano yapo, pia kina matofali 600 nayauza kwa 550 kila moja.
Wasiliana nami kwa simu namba 0713-357542.
 
eneo halijapimwa, ila kuna umiliki wa serikali ya mtaa

duh yangu macho (pata potea) wasije kutokea ndugu wa marehemu wakadai eneo lilikuwa la wiki yake bibi yao naogopa sana mgogoro wa ardhi 2.5 ni ndogo lakini inaweza kuwa nyingi at the end of the day...
 
sorry nilkuwa natafuta viwanja nikaiona hii ingawa ni ya zamani ila nimeona imejirudia mara nyingi, swali langu ni je, ushauza hicho kiwanja, kama bado tuongee biashara
 
sorry nilkuwa natafuta viwanja nikaiona hii ingawa ni ya zamani ila nimeona imejirudia mara nyingi, swali langu ni je, ushauza hicho kiwanja, kama bado tuongee biashara

mie nina kiwanja/shamba la hekari moja nauza kwa milioni 2 unusu.Kama vp PM.
 
sorry nilkuwa natafuta viwanja nikaiona hii ingawa ni ya zamani ila nimeona imejirudia mara nyingi, swali langu ni je, ushauza hicho kiwanja, kama bado tuongee biashara

mzee nimeshauza zamani kidogo mkuu, sorry.
 
huwezi kunitafutia kingine kwa mtu mwingine maeneo hayo? nina shida kweii na kiwanja... hata kama ukubwa ni zaidi na bei ni zaidi ila isizidi milioni sita (6mil)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom