Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya Wanafunzi wa Tumaini University, Iringa. Ni umbali wa mita 200 tu kutoka chuoni, kila chumba ni self contained, kina maji na umeme. Kila chumba kina kitanda...
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami...
Kama unahitaji muziki kwa shughuli ya aina yeyote ile,iwe ubarikio,ubatizo,komunio,Kipaimara,Ndoa,Harusi,Send Off,Beg Party,Kitchen Party,Graduation,Mkutano,Misiba,Mhadhara au aina ya Sherehe...
hii ni kampuni inayoshughulika na maswala ya solar and electrical installation
Sehemu tulizo bobea kwa ujumla:
General domestic and industrial electrical installation.
Electrical machines and...
Wadau,
Sisi tunajishughulisha na uuzaji wa simu rejareja na jumla, simu zetu zote zina warranty ya miezi 12.
Sisi ni Nokia- SUPER DEALER
Sisi ni Motorola- AUTHORISED DISTRIBUTOR
Sisi ni...
Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?
kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya...
Wanajamvi,
Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa.
Registered,full duty paid, 90,000 kms, automatic transmission, sports rims.
Other options: AM/FM Tuner, CD/DVD/TV, Dual...
Watanzania wenzangu, inasikitisha sana mtu kuona au kuokota kitu cha mwenzako lakini unashindwa kukithamini au kukipeleka kwenye chombo cha usalama. Angalia tofauti;
1. Kizazi cha zamani (Babu na...
A Beach plot measuring 22123Sqm/ 6Acres,located at bagamoyo tourist destination about 45kms from Dar es salaam city centre.
Price:Negotiable
Contact:+255 717 740 341
HOTEL / GUEST HOUSE ( UNFINISHED- IKO LEVEL YA LENTA ) INAUZWA , INA VYUMBA 40 VYOTE SELF CONTAINER, MAJENGO MAWILI, IPO MOROGORO ENEO KUBWA NA ZURI SANA (nyuma ya stand ya mabus msamvu , Opposite...
Waheshimiwa wanajamvi
Babu yenu hapa nina kapick kangu kalipata ajali hivi majuzi na hivi sasa tunavyoongea tumegundua kuwa chassis imepinda kidogo kwa mbele. Hali hii imepoteza mawasiliano...
BIZ Knowledge bure:
Kunawatu watu wanajiita wajasiriamali lakini wako nyuma kwenye kujitangaza au ndo hawafahamu coz zipo
forum,blog na baadhi ambazo ni free of expressions kusema chochote...
Naona jigambeads.com wanatoa kazi ila kwa njia ya tofauti kabisaaaaaaaaaaa.Hii ni style mpya.
Kwa sasa mnaweza kuwa mnaturahisishia kazi sisi. Hapa hata nikiwa nyumbani naweza kufanya kazi...
Je wandugu kuna mwana jamii humu anaweza kutuhabarisha, kuhusu mzawa anayetengeneza boat za fibre glass hapa nchini? Anwani zake na physical address. Na ubora wa boat zake na viwango kwa ujumla?
---------- ACEAXIS LIMITED --------
100% *OFFICIAL* AUTHORIZED DEALER
100% Brand New in Box Genuine Guaranteed
100% Lowest Price Guaranteed (Price Match May Apply)
100% FULL Warranty with setup...
Ni kutaka kujua tuu juu ya hilli.
Kwani wapo waliopoteza hela zao kwa kutangaza biashara zao, na wapo waliofaidika pia.
Je? Njia rahisi ya kufanya hili na likatambulika kwa haraka ni ipi?
Je, ulishawahi kusikia au kuona mtandao unaowasaidia watanzania kutangaza matangazo yao kwa bei poa?
JigambeAds
TanzaniaKwetu
Mitandao hiyo hapo juu inamwezesha Mtanzania yeyote kutangaza...