Mzawa anayetengeneza boat za firber glass

Shadya

Member
Sep 14, 2011
87
37
Je wandugu kuna mwana jamii humu anaweza kutuhabarisha, kuhusu mzawa anayetengeneza boat za fibre glass hapa nchini? Anwani zake na physical address. Na ubora wa boat zake na viwango kwa ujumla?
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,854
94,488
wasiliana na watayarishaji wa kipindi cha teknoleo cha tbc0ne

watakupa info zake
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom