For sale Ps3 Slim with:
-500gb
-1 DualShock 3 Wireless Controller
-AC power cord, AV cable and USB cable
-Comes with Two Games
-Its user manuals..
-Used for 2Months
-Has 3D TV support
-Wifi and...
Ni wapi nitapata vifaa vifuatavyo kwa bei nafuu dar es salaam
heavy duty fotocopy machine
id cutter
lamination machine
a3 color printer
spiral binding machine
Two separated houses in one compound are for rent. Located at White sands near by giraffe or Beach comber Hotel, or Jagwani Sea Breeze. A beautiful family home of three bedrooms. Features...
nyumba iko 1km off morogoro road,
spacious kitchen+store
spacious sitting room, dining room
4 bedrooms, 2 self contained bedrooms,
well maintained flower gardens with a makuti kibanda, electric...
Ipo eneo la Samaki. Ina vyumba vitatu vya kulala, sebure, jiko. kodi shs 600,000 kwa mwezi. ruksa kulipa kodi ya miezi sita. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
Hello Wadau,
Nauza Subaru Forester 1998, Turbo, Ina wiki mbili tu imelipiwa kila kitu bado insuarance tu ina plate number na siti za STI naambatanisha na picha bei mil 12 but it can be negotiated...
Mimi ni mgeni hapa arusha mjini nimefikia nyumba ya kulala wageni hapa kaloleni natafuta chumba cha kupanga.
1.kiwe katikati ya mji ili kunirahisishia kazi zangu.
2.kiwe na usalama wa kutosha...
Shamba hili lina ukubwa wa hekari tano, pia lina faa kwa ujenzi na barabara inafika vizuri. Bei yake ni 20,000,000/-.tu za kitanzania.
Mawasiliano 0719646407,
0713802507.
Wapendwa nauza laptops aina ya Dell Inspiron 4150 zipo chache ndio zimeshuka kutoka Marekani hivi karibuni, zimetumika lakini ziko katika hali nzuri kabisa ,zinauzwa kila moja Tsh 550,000.
Kwa...
Wandugu wa JF,
Leo tarehe 02/06/2011 zikiwa zimebaki siku takribani tano kuanza kusoma kwa bajeti ya 2011/2012; nimeamua kwa hiari yangu mwenyewe billa kushawishiwa na mtu yeyote yule, huku...
Jamani nauliza naweza kupata wapi HDMI cable yaani kama kuna duka,je lipo sehemu gani,na kama kuna mtu anauza,ningependa kama inawezekana kujua na bei yake,
Natanguliza shukrani
Hello,
Nipo Dodoma, natafuta laptop yenye sifa hizi:-
1. RAM 1GB
2. HDD kuanzia 120GB nakuendelea.
3. Os ikiwa na visita nitafurahi ila hata ni xp hamna shida.
4. Iwe na condtion nzuri iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.