nauza shamba nusu eka mil 5, zipo eka tatu nina barua niliyopewa wakati kijiji kinayauza

mama cha

Senior Member
Aug 2, 2011
115
9
lipo lugwadu 3km frm main road ya kwenda kongowe panaitwa mwembe mtengu ni kituo karibu na alipojenga waziri mkuu pinda huku kigamboni. Kwenye shamba utapata mchanga mzuri wa kujengea naouza nikamilishe ujenze simu yangu ni
0712769766
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,832
25,556
lipo lugwadu 3km frm main road ya kwenda kongowe panaitwa mwembe mtengu ni kituo karibu na alipojenga waziri mkuu pinda huku kigamboni. Kwenye shamba utapata mchanga mzuri wa kujengea naouza nikamilishe ujenze simu yangu ni
0712769766

Hakijapitiwa na mradi?
Nusu heka ndio ukubwa wa meta (sio hatua) ngapi kwa ngapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom