Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990 inauzwa haraka

PillowTalk

Member
Sep 24, 2010
95
5
Wadau,
Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power
windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. very peworful machine.Excellent fuel consumption.Bei 4.5ml negotiable.Kwa mawasiliano ni PM.
Ideal kwa kazi za mashambani au uwindaji au usafirishaji.

Photo-0106.jpg Photo-0101.jpg Photo-0104.jpg Photo-0102.jpg Photo-0105.jpg
 
Excellent fuel consumption ndo' CC ngapi?naomba anaejua anieleweshe.
 
Excellent fuel consumption ndo' CC ngapi?naomba anaejua anieleweshe.

Kuna uhusiano kati ya ujazo wa mitungi ya injini na utumiaji wa mafuta, japo sio wa moja kwa moja (inaytegemea na teknolojia iliyotumika). Ukizingatia gari ni la mwaka 1990, na ujazo wa injini ni 2.3lt (2300cc); anaposema excellent fuel consumption inategemea kwa standard zipi. Gari za diesel za miaka hii na ujazo huo zinaenda hata km 20 kwa lita (ikitegemea pia uendeshaji). Kama hiyo gari inaanzia km 15 kwa lita kwenda mbele, excellent fuel consumption itakuwa na maana.
 
Mbona hujapiga picha Dashboard na viti?
Au vimekongoroka?
 
Mkuu ubora usingeweka picha maana hizo picha ndo zimeharibu kabisa. Kwa ushauri wangu uza milioni 2.
 
Hii peleka makumbusho watakuwa wanakulipa laki 5 kila mwezi, kazi yako ni kwenda kulifuta vumbi kila asubuhi!
 
dah,hizo koments za wadau hapo juu zimeniacha meno njeeee!!so fun with jf, kama muuzaji anahasira anaweza kupasuka!hahahaaa
 
Kuna uhusiano kati ya ujazo wa mitungi ya injini na utumiaji wa mafuta, japo sio wa moja kwa moja (inaytegemea na teknolojia iliyotumika). Ukizingatia gari ni la mwaka 1990, na ujazo wa injini ni 2.3lt (2300cc); anaposema excellent fuel consumption inategemea kwa standard zipi. Gari za diesel za miaka hii na ujazo huo zinaenda hata km 20 kwa lita (ikitegemea pia uendeshaji). Kama hiyo gari inaanzia km 15 kwa lita kwenda mbele, excellent fuel consumption itakuwa na maana.
mkuu uko vizuri na maelezo hayo ya kina!!naomba referensi za magari hayo ya kisasa,ya diesel ama petrol zinazoweza tembea kms hizo kwa lita,niibox kama vip
 
mkuu uko vizuri na maelezo hayo ya kina!!naomba referensi za magari hayo ya kisasa,ya diesel ama petrol zinazoweza tembea kms hizo kwa lita,niibox kama vip

Mkuu kwa kuanzia tu nakupa gari tatu za diesel injini kubwa:
BMW 316d;
VW Scirocco
Honda Accord diesel
. Hizi zinaenda mpaka km 26 kwa lita.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom