Natafuta Vitz ya kununua

Natafuta Vitz ya kununua

mwijampola

New Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
2
Reaction score
1
Kama kuna anayejua mtu anauza Vitz iwe ya mwaka 2001 nakuendelea juu i.e 2002 na iko kwenye hali nzuri awasiliane na mimi tufanye biashara. iwe chini ya cc 1000. Bei isizidi. contact zangu ni lkawamala@gmail.com.
 
Orait,
mimi ninayo lakini ya kuhonga sio ya kuuza.
Sorry.
 
mmmmh hivi kuna gari chini ya cc1000?? Nadhani vitz ni cc1300
 
Back
Top Bottom