Chumba cha kupanga Arusha!

Triple A

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
766
147
kwa wakazi wa arusha anayehitaji chumba cha kupanga kipo maeneo ya kerai self ina choo bafu jiko ndani bei poa.
 

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,545
738
weka bei na mawasiliano mkuu...... ina vyumba vingapi? what about security? I'll be interested kama ukinijibu hayo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom