Beach plot inauzwa - mtwara

Beach plot inauzwa - mtwara

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wadau kuna Beach plot ekari 100 inauzwa Mtwara (inapakana na eneo alilonunua Waziri mwenye dhamana ya mishahara ya wafanyakazi wa serikali).
Inauzwa sh. 100,000,000 Tshs kwa jumla.
 
du mimi nahitaji beach iliyopo Mchinga pale kabla hujafika Lindi mjini mwenye details tafadhali jamani ,kama vile bei n.k
 
Ingekuwa mimi ndio wewe ningekata viwanja vidogo vidogo ndio niuze
 
tugaie data kamili kaka watu tuchangamkie! mjini kumetushinda!! tunaweza kupata eka chache tu!! weka na namba za simu ili mawasiliano yawe ya kasi! kama vipi ni inbox
 
tugaie data kamili kaka watu tuchangamkie! mjini kumetushinda!! tunaweza kupata eka chache tu!! weka na namba za simu ili mawasiliano yawe ya kasi! kama vipi ni inbox
Hata kwa kukata inawezekana lkn si unajua gharama kwa jumla ya ekari 100 inakuwa ndogo kuliko kuuza moja moja.
Lkn pia si kwa ekari moja moja!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom