Wana wa JF natafuta engine ya M/benz model ya 102, mwenye nayo au mwenye taarifa tuwasiliane tafadhari iwe katika hali nzuri. Asanteni