Nissan primera.2002

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
451
THE PRIMERA IS IN STUNNING CONDITION INSIDE AND OUT- VERY ECONOMICAL I AVERAGE 38 MPG FOR THE LAST 3000 MILES AND THATS URBAN JOURNEYS MAINLY- LOW MILEAGE ON THE CLOCK- LOW INSURANCE GROUP- REALLY GOOD LOOKING CAR AND DRIVES PERFECTLY- LOTS OF FEATURES ON THE CAR- CHILD LOCKS- FOLDING REAR SEATS- CD PLAYER- ALLOY WHEELS- 8 AIRBAGS - VERY SAFE FAMILY CAR- TWO KEYS- ADJUSTABLE SEATS- CENTRAL LOCKING- ADJUSTABLE STEERING COLUMN/WHEEL- ANTI THEFT SYSTEM- ELECTRIC MIRRORS AND WINDOWS- - METALLIC PAINTWORK- HEIGHT ADJUSTABLE DRIVERS SEAT- REAR WIPER- ISOFIX CHILD SEAT ANCHOR- COLOUR CODED BODY- REVERSING CAMERA - WHEN CAR IS IN REVERSE THE LARGE LCD SCREEN ON THE CENTRE CONSOLE SHOWS YOU WHATS BEHIND-. AIR CONDITIONING- IMMOBILISER AND ALARM- ARMRESTS- ABS- EXCELLENT CD PLAYER WITH RADIO- PHONE POINT - BLUETOOTH ENABLED - POWER STEERING
[ALREADY IN DAR ES SALAAM]
PRICE: 17,500,000
nissan+2.jpg
nissan.jpg
nissan 3.jpg
 

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Nimependa dashboard yake ni ya ukweli na gari ni nzuri.natumaini utapata wanunuzi muda si mrefu.
 

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,062
292
Du, em 17 unusu paref mazee, ila wapo watakao changamkia, heb 2angalizie yale ya bei zetu.
 

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
451
Du, em 17 unusu paref mazee, ila wapo watakao changamkia, heb 2angalizie yale ya bei zetu.

Kwa specifications na uimara wa hii gari aswell as its fuel consumption hii bei ipo reasonable kabisa. Vipi kwani wewe ulikuwa na Tsh ngapi?!
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,836
25,560
huku UK gari kama hii utaipata kwa pound 1500

We acha tu dada yangu,
Eti ni rahisi kununua nyumba huko kuliko kununua hapa bongo,
Wahuni sana hawa madalali + wenye mali
 

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
442
166
We acha tu dada yangu,
Eti ni rahisi kununua nyumba huko kuliko kununua hapa bongo,
Wahuni sana hawa madalali + wenye mali

Kweli kuna nyumba rahisi sana UK tena mpaka £50,000 lakini sasa hiyo neighbouhood utakoma mwenyewe, full mambwa na wazungu vichaa wabaguzi wa rangi na kajumba kenyewe hata 6x6 haiingii chumbani. Vijumba kama kiberiti au banda la mbwa huku kwetu. Aisee, ukitaka kuishi mbezi beach ya UK andaa milioni mia kadhaa za kitz ndio ukakae, na ujue wewe na majirani zako mnaweza msijuane hata majina. Hao ndio wazungu bwana. Wakija kwetu wema kweli, tukienda kwao balaa. Ila sio wote. Kuna wazungu peace kuliko ndugu zetu wa damu.

There is no where like home kabisa. Hata kama umeme mgao lakini kwenye dala dala utapiga story na stranger mpaka unafika safari yako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom