Laptop mpya toshiba bei poa...

aghassany

Member
Oct 9, 2011
57
1
Mashine hii ni kali na ya kisasa. Ni nyembamba na Nyepesi features zake ni kama zifuatavyo
Inakwenda kwa $800 na bei yake halisia ni $1,050.
 

Attachments

  • 211111070743portege-r830-s83xx-600-05FS.jpg
    211111070743portege-r830-s83xx-600-05FS.jpg
    25 KB · Views: 192
  • 211111070744portege-r830-s83xx-600-09FS.jpg
    211111070744portege-r830-s83xx-600-09FS.jpg
    10.3 KB · Views: 136
Mimi nilikuwa nazo kama 4 na nilikua nauza kwa laki nane same specs, mzee bei ipo juu saana
 
Kabla ya kulalamika kuwa bei ni kubwa jaribu kuangalia kwenye website za maduka yanayouza electronic gadgets ili upate indicative prices.

For the price of a similar brand new laptop in UK angalia hapa
 
Kabla ya kulalamika kuwa bei ni kubwa jaribu kuangalia kwenye website za maduka yanayouza electronic gadgets ili upate indicative prices.

For the price of a similar brand new laptop in UK angalia hapa

Thank you very much SHakazulu. Mtu toka tu out of no where anasema bei ni kubwa kwenye web uliotoa hapo nimeenda similar model na yangu sema imezidi tu ram kwa 2gb more and hard disk ni 640 instead of 500 wanauza 729 pounds hapo hujaleta huku bado. 729 pounds ni around 1.9 m...

TOSHIBA Satellite R830-143 13.3" Laptop at cheap prices | PC World
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom