mojoki JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 1,313 Reaction score 291 Nov 25, 2011 #1 natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze
Akthoo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2007 Posts 1,064 Reaction score 1,142 Nov 25, 2011 #2 Inapatikana Karikoo; CLOVELAND COMPUTERS. Mtaa wa Aggrey/Sikukuu. BEI 120,000 Tsh.
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Nov 25, 2011 #3 mojoki said: natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze Click to expand... bro hiyo betri umeshapata, bei yake ni 100,000... kama uko interested nicheki 0655003510 au PM me.
mojoki said: natafuta betri ya hiyo machine hapo juu ningependa fahamu inapatikana wap na kwa kiasi gani mwenye ufahamu tafadhali anijuze Click to expand... bro hiyo betri umeshapata, bei yake ni 100,000... kama uko interested nicheki 0655003510 au PM me.