kiwanja kinauzwa, kipo madale karibu na kawawa, ukubwa robo heka, bei 6.5 million kuna maelewano, hakijapimwa na kiko tambarare na sehemu inafikika, contact 0715 696920/ 0787585860 / 0786 670 121. Nauza ili nipate ada ya shule kwa aliyetaye tayari karibu sana