Nafasi ya kazi kwenye Secretarial Bureau

Strategizt

Senior Member
Joined
Oct 16, 2009
Posts
179
Reaction score
34
Nahitaji typist awe na uwezo wa kutumia computer na vifaa kama photocopier, fax, binding machine etc.Awe amepitia mafunzo ya Typing na amesoma aplications za computer kama vile Ms word, Ms excel, Ms publisher etcAwe amefanya kazi kwenye Secretarial Bureau kwa muda wa miezi sita na kuendelea, lakini kama ana uwezo wa kujifunza haraka anaweza kupata kazi bila shida.Kama atakuwa na sifa hizo hapo juu anatakiwa kuanza kazi haraka.Mshahara ni mzuri.Kama una vigezo au unamfahamu mwenye vigezo nipigie No. 0754 29 27 31
 
Mpendwa.... si utamtandika Mangumi?
 
Back
Top Bottom