Toyota Corrola 4.7Million/ 1331 cc/white

Toyota Corrola 4.7Million/ 1331 cc/white

rakeyescarl

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2007
Posts
481
Reaction score
147
Registered,duty paid. White/5 doors/1,331 cc. Model EE111/engine 4E.
No dent/ lady driven/in DSM only/ for further question please PM or call 0655.280264
 
Lady driven maanayake ndo ilikua inaendeshwa na mwanamke? Au gari inajiendesha ki-kike? Au ndo nini lady driven tusije tukaingia choo cha kike

Pili kama imesajiriwa nitajie number ya usajiri sio zote::: ni B?? T***
 
Mkuu King Kong IIInisamehe-kiswahili changu si kizuri,just ignore hiyo part ya lady driven.
Tuko wote!
Number ni A
Lady driven maanayake ndo ilikua inaendeshwa na mwanamke? Au gari inajiendesha ki-kike? Au ndo nini lady driven tusije tukaingia choo cha kike

Pili kama imesajiriwa nitajie number ya usajiri sio zote::: ni B?? T***
 
Imetembea kilometre ngapi bongo?
Total Odometre inasomaje?
Ya mwaka gani?
Wewe ni mmiliki wa ngapi ukiweka na yule alie-import kwa mara ya kwanza?
Bati/body original au "Puti" imechukua nafasi kiasi,
AC inafanya kazi?
 
registered,duty paid. White/5 doors/1,331 cc. Model ee111/engine 4e

no dent/ lady driven/in dsm only/ for further question please pm or call 0655.280264
leta picha bwana gari haziuzwi hivi mtandaoni
 
bei kiasi gani mkuuu

wabongo wengi hamnazo kabisa! huwa sielewi. hivi itakuwaje mtu kama huyu akiletewa mkataba ofisini, anaweza kuusoma kweli? Hata kama ukilaza huu wako umezidi, mweee!
 
1995 mkuu, hayo mengine mlete fundi,mimi siyajui yamekaa kitaalamu eg aliye import ndio nini?
mimi nauza gari langu si mtaaamu wa kuuza magari.Nisamehe.:biggrin:

Imetembea kilometre ngapi bongo?
Total Odometre inasomaje?
Ya mwaka gani?
Wewe ni mmiliki wa ngapi ukiweka na yule alie-import kwa mara ya kwanza?
Bati/body original au "Puti" imechukua nafasi kiasi,
AC inafanya kazi?
 
Imetembea kilometre ngapi bongo?
Total Odometre inasomaje?
Ya mwaka gani?
Wewe ni mmiliki wa ngapi ukiweka na yule alie-import kwa mara ya kwanza?
Bati/body original au "Puti" imechukua nafasi kiasi,
AC inafanya kazi?

1995 mkuu, hayo mengine mlete fundi,mimi siyajui yamekaa kitaalamu eg aliye import ndio nini?
mimi nauza gari langu si mtaaamu wa kuuza magari.Nisamehe.:biggrin:

*Odometer
ni mbovu
*Labda halina kadi
*
Na pia AC ni mbovu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
4.7mil halafu engine 111, nakataa engine za 111 nyingi ni za kuanzia mwaka 1998 -2000. Gari hizo ni chache sana iwaje uuze 4.7mil?
Halafu usiwe mkali biashara matangazo, weka picha ili watu wajionee wenyewe badala ya kupamba sana kwa maneno!!!
 
mpwa usiamini sana kwenye picha uliza walioagiza kwa wenyewe wakaletewa vituko sembuse huyu wa tegeta
Sasa mkuu Dar siyi Japan mpaka ushindwe kwenda kujionea ukweli wa hizo picha mkuu!!! Jamaa hana budi kuweka picha na ukiwa interested utakwenda kujionea gap baina ya picha na uhalisia. No gap you pay au unafungua fuba kapuuuu unaanza kutembea huku umekaaa tehe tehe tehe tehe.
 
Nakukumbusha tu kuwa! Ni muhimu uepuke matapeli!!!! Take care biashara ufanye sehemu inayoeleweka! Usiwape kadi ya gari hadi mmemalizana kabisa! Take care brother wameshalizwa wengi kwa njia mbalimbali!!!!!!
 
Jamani wabongo wenzangu tujifunzeni kuwa serious na biashara. Yaani kweli unaweka tangazo la kuuza gari bila information za kutosha kuhusu bidhaa yako?
Hakuna mwaka wa kutengenezwa!
Hakuna mileage!
Hakuna transmission info!
Hakuna history ya umiliki!
Hakuna picha!

Mkuu, you better be serious.
 
Wana jamvi naomba kujuzwa.......hivi kuna uhusiano wowote kati ya ubora wa gari na jinsia ya dereva?
 
Back
Top Bottom