Kiwanja kipo mbweni kina 30*40m bei 40M, kuna Shamba lipo kigamboni mwasonga karibu na Dar es Salaam Zoo heka 7 bei 15M, kuna Shamba lipo Visiga Madafu Kibaha, linafaa kufuga, kufungua shule Heka...
mambo vp wakubwa,
Nauza Samsung Galaxy Tab 32GB ni mpya..... Bei ni 600,000/=
nipigie kwa 0655003510 au ni PM au tuma msg kwa namba 0753196849.
NB. kwa wale ambao wameshanunua simu kutoka kwangu...
Please wenye ujuzi wa uingizaji magari used toka Japan naomba msaada wenu......gharama za uingizaji tanzania huwa ngapi(approximate).....(mpaka gari linakuwa barabarani)??? mf. CIF+INSPECTION...
Bandugu nauza mkoko wangu Subaru Forester ya mwaka 2001, colour silver, cc 2000, ina turbo, mileage 126000. Bei ya kuuzia 10m pungufu huongei. Picha nimeshindwa kuziweka. Anayehitaji aniPM...
new Iphone 4s 32Gb for sell 3 days old in bongo land USD 1200 inakuja na cover ya uhakika na screen protector ya kiyoo cha nyuma na mbele na ukitaka ma apps over 100 tunakurekebishia...Mawasiliano...
Wana wa Arusha na wapenzi wa Chadema:
Mbunge wa Arusha mjini Mh, Godbless Lema anawaalika kwenye mkutano wa kujadili maendeleo ya Arusha mjini. Mkutano utafanyika Hotel Manor sakina saa nane...
ebana wakubwa mwenye netbook anauza inahitajika na mm mwnyw' iwe na hdd isiyopungua 160 gb, ram 1 gb.... Ikiwa hp au dell au samsung itakua makini zaidi. Ofa ni 350,000/=. Unayo fanya kuni PM au...
Habari ya leo wakuu,
Mwaka ndio unaisha hivo & ktk nyakati hizi watu husafiri kwenda mikoani walikozaliwa kutembelea ndugu, jamaa & marafiki wa kitambo. Je umejiuliza ni zawadi gani inafaa...