Muhimu: Furniture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimu: Furniture

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mambo Jambo, Sep 15, 2011.

1. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#1
Sep 15, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145
Wakuu ni maduka gani jijini Dar es Salaam naweza kupata furniture za nyumbani imported nzuri na kwa bei nzuri.

Asante sana,

MJ

2. S

Shadya Member

#2
Sep 15, 2011
Joined: Sep 14, 2011
Messages: 88
Likes Received: 17
Trophy Points: 0
Kama unahela zako nenda lifemate furniture, na pale round about ya bill cana kuna duka w la mapazia na furniture, ila kama pesa ni za mawazo nenda kariakoo gerezani.

3. G

Gamba Jipya JF-Expert Member

#3
Sep 15, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 403
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mambo Jambo za long time mkuu.

Mkuu kama bado uko ughaibuni ni bora ununue furniture huko huko nakumbuka sister amehamia dar april na kipindi hicho nilikuwa dar tukaanza zoezi la kutafuta furniture hakuna kitu kabisa, ziko vitu za ajabu ajabu tu, ikabidi sister aagize furniture south africa kama uko interested ni PM lakini bongo utapoteza muda wako tu.

4. S

Shadya Member

#4
Sep 15, 2011
Joined: Sep 14, 2011
Messages: 88
Likes Received: 17
Trophy Points: 0

gamba, unafanya mchezo na furniture za s.f, si mchezo na bei yake imeenda shule ndo maana akaulizia bongo. Ila nilikomuelekeza furniture zao ni nzuri na ziko kiwango at- least. But kama hela zake za mawazo itakuwa kazi

5. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#5
Sep 15, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Asante sana, btw: hela ya mawazo ni nini?

6. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#6
Sep 15, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Gamba Jipya heshima mbele sana mkuu wangu.

Duh, umenikatisha tamaa kabisa kiongozi, nilidhani na mambo ya utandawazi basi Bongo itakuwa kama newyork, nitajaribu Dar es salaam nikipiga mwamba then nitaku PM unipe contact za hao jamaa zako wa Z.A
OT: DC kwema lakini mkuu.

7. mfianchi

mfianchi JF-Expert Member

#7
Sep 15, 2011
Joined: Jul 1, 2009
Messages: 7,953
Likes Received: 1,509
Trophy Points: 280
Living Room wana fenicha za ukwelli branded from Italy,Canada n.k,kama hela yako ya kuhesabia chooni pale Mlimani City ndani karibu na duka la vinyago nao wanauza fenicha nzuri sana na imara kuliko hizo za mtoni ambazo zikinyeshewa na mvua ndio kwishne,za hapo dukani ni za mbao halisi zinatengezezwa bongo lakini zina kiwango cha hali ya juu

8. Doltyne

Doltyne JF-Expert Member

#8
Sep 16, 2011
Joined: Aug 29, 2011
Messages: 443
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Nenda maridadi timberworks, unaweza kusearch online wana website, ibing tu mkuu utajionea. Huyo mzingu yupo serious na mninga wacha masikhara. Na bei zake ni sawa na product, achana na living room wanauza sofa moja na chair milioni tisa, coffee table mil 4. Wale jamaa wana masikhara kabisa. Ila wazo la jamaa hapo juu ni bomba zaidi kuagiza toka nje. Quality wenzetu wanaivalue haswaa, na hamna ubabaishaji wa kuambiwa imetoka italy wakati ni kutoka kwa jamaa wenye macho madogo.

9. T

TMK DAR Member

#9
Sep 16, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 47
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Dependng on your budget hao wahindi wa Living Room wanazo sofa nzuri around 5M-8M, la kawaida around 2.7M.
Kama hao unaona aghali,nenda kwa wahindi tena Furniture centre unapata around 500K-1M, wanatoa guarantee hewa, kama bado hao aghali njoo Keko karibu na VETA hawatoi guarantee unapata sofa kwa 120-250,000Thou kama bado ni aghali njoo Tandika unapata kiti kama cha dinning na kitanda kwa 45,000 kama bado ni aghali nenda Gerezani kuna vile ambavyo ni used lakini huwezi kujua hata ambavyo mtu kapigwa nondo navyo vimo unapata hata kwa 50,000 furniture za nyumba nzima-ahahhhhhhhhhhhhhhhha

10. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#10
Sep 16, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Asante mkuun btw hela za kuhesabia chooni ni hela gani mkuu, za wizi au za dili fake?

11. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#11
Sep 16, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Poa mkuu,nitajaribu kuwacheki hao jamaa, kama ikishindikana upatikanaji wa HQ itabidi nimcheck gamba jipya anipe mchongo wa s.a.

12. Mambo Jambo

Mambo Jambo JF-Expert Member

#12
Sep 16, 2011
Joined: Jul 11, 2008
Messages: 1,100
Likes Received: 35
Trophy Points: 145

Mkuu budget siyo tatizo mkuu cha msingi quality mkuu wangu, asante nitawacheck hao living room.

Loading...