Natafuta nyumba ya kupanga - Dar

Natafuta nyumba ya kupanga - Dar

Tumba

Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
37
Reaction score
2
Wadau mwenzenu nimepewa notice natakiwa nimpishe mwenye mali yake so right now am looking nyumba ya kupanga yenye vyumba 2 vya kulala, sebule, choo na jiko ndani kwa ndani na pia iwe na fence na parking ya gari 1.

Budget yangu ni 200,000 kwa mwezi.

Maeneo kuanzia Mbezi Africana kuja hadi Mwenge, Makumbusho, Kinondoni, Sinza na Ubungo.

Mwenye msaada wowote naomba aninusuru na balaa hili. Nishahangaika na madalali wananizingua tu.
 
kaka mcheki huyu mtu 0655 992234 julius ukifanikiwa nijulis mzee..
 
Ninapoishi kulikuwa na nyumba inapangishwa since last week, sema sina uhakika kama bado ipo coz nashinda kazini pia sina uhakika na bei, mimi naishi hapo chumba na seating room choo na jiko nalipa the same amount unayotaka ww, ni Mwenge jirani kabisa na Kanisa katoliki, nyumba ina geti la blue, kama una nafasi pitia mwenye nyumba anaishi hapo hapo ni mchungaji.
 
nimesahau kitu, pia kuna maji unatakiwa kulipia 15,000/= kwa mwezi lkn inapokelewa kwa mwaka though ni ya chumvi si unajua mwenge kuna shida ya maji, so wamechimba kisima na tukaunganishiwa mambomba so ni full maji yn mpaka mabomba ya juu maji yanatoka.
 
Poa nashukuru kwa michango yenu wote. Ntafatilia nicheck kama ntapata. Thanks!
 
Kaka mimi ninayo ipo Kitunda Machimbo ila nafanya Laki tu ulichosema kilakitu kipo ndani
 
Kwa bei hiyo naona kama huwezi kupata nyumba, lakini kama huna familia naweza kukuulizia kwa watu wanaotafuta watu wa kufanya house warming ukakaa bila kulipa kitu ila siku ya kuondoka itakuwa ni notice ya 7 days.
 
nyumba ipo sinza laki3 na nusu,pia mfanyakazi mwenzangu anahamia nje ya dar,analipa around the same,maeneo ya msasani would u be interested,let me know
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom