Urgent: Natafuta pa system ya kukodi igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urgent: Natafuta pa system ya kukodi igunga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Lukansola, Sep 1, 2011.

 1. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari zenu wakuu, naomba watu wa igunga mnitafutie Public Announcement System (PA), Microphone 3 wireless, kwa Jumapili 4/September/2011, Igunga, mwenye contacts naomba PM tafadhali.
  Asanteni.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,278
  Trophy Points: 280
  Twajua wataka kuanza promo kabisa,
  Za magamba au magandwa?
  Kama magwanda sema nkupigie debe
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Sina chama ila ni napenda 'change', kama una contacts nomba please its urgent for this sunday
   
 4. A

  Alexander Chami Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulipata hiyo PA System? Kama hapana bado unahitaji kwa kipindi hiki cha kampeni?
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hujui kuwa wana igunga ni waislam na hawaingii jf??>
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Kama unaipigia debe CCM ntakujulisha pa kuzipata tena bure. Vinginevyo, wee ulie tu.
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Tafadhali sana tumo Waislaam wengi humu JF. Kuna mahali JF inasema Waislaam hawaruhusiwi?

  Posts kama hizi ndio zinashadidia chuki.
   
 8. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Alexander Chami, Bado sijapata, na bado nahitaji kama una contacts nisaidie tafadhali.
   
 9. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  FaizaFoxy mpenzi usinifanyie hivyo, wewe hujaona nyumba moja baba Simba mama Yanga na maisha yanaendelea punguza hasira mamii, utanipa? (PA System)
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  m-PM Sikonge, japo yeye yupo mwendo kidogo toka Igunga.
  Nijuavyo ni kuwa yeye ni mzuri kwa ombi lako, na atakusikiliza bila shida!
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Asante PakaJimmy acha nimtafute.
   
 12. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kweli FF hapa jamaa kachemka, sometimes tujitahidi kuwa a bit serious sio mzaha kila mara (nina hakika director alikuwa anatania tu), maana katika hali ya kawaida mtu hawezi sema maneno haya
   
 13. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu mi nina kampuni inajihusisha na shughuli hizo na ipo dar,tunavyo vifaa vya uhakika na huwa tunasafirisha hata mikoani kwa ajili ya shughuli kama hizo pamoja na shughuli za kuhamasisha jamii mambo mbalimbali kama utahitaji wkat mwingine nitafute 0714779110.
   
Loading...