Naulizia bei ya kununua nyumba masaki au msasani. Nyumba kubwa ya vyumba vitano maeneo masaki au msasani inauzwa kwa kama shilingi ngapi?
andaa bilion moja ndugu, ure looking a house in wrong place unless kama uko nazo! pole abd all the best
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us